Hawezi kupewa kazi kwa sababu inasemekana kuwa huyu mama na Membe hawaelewani na ndio chanzo cha yeye kutaka kuacha kazi kwenye kituo chake cha mwanko huko London
Serikali kwa kupitia kwa Muhongo na wasomi wajuaji waliojazana kule kwenye nchi yao ya Mgogoni/Kivukoni waliamua kuandika sera ya gesi lakini la kushangaza ile sera iliandikwa kwa Kiingereza kigumu kwa maslahi ya watu wa nje ya nchi na ruling elites.
In short hakuna sera ya gesi iliyoandikwa...
Hii inalipa au?
Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa mzigo umekuwa mwingi mno kiasi cha kuwa hakuna soko
hebu wajuzi tuwekeeni sawa juu ya hiii biashara.
Na humu JF pia...jiulize alitukanwa weee humu sasa hivi JF inatangaza VODACOM...kama huamini tazama hapo chini.
Huyu sasa amekuwa king maker huko Kenya....
Hivi hawa wa Tanzania wenzetu toka mikoa ya Lindi watu wa Lindi na Mtwara walifanya sacrifice zipi kabla, wakati baada ya Mkoloni?
Je kisiasa, Kitamaduni (zaidi ya Tinga Tinga) na Kiuchumi (zaidi ya Korosho, Gesi na Mafuta....SAGCOT, Mtwara corridor) kuna kitu gani zaidi ambacho hawa wenzetu...
Sio ya kulevya
Nataka kufanya biashara ya kuingiza dawa za binadamu toka nje je nahitaji kibali gani.
Pia, kama nataka kuingiza solution ya unga wa maziwa ya watoto je nayo nahitaji vibali vipi?
Vitu kama pedi za wanawake na pampers za watoto pia nataka kuingiza je zaidi ya TBS nahitaji...
duka la mariedo na bidhaa FEKI na CHEAP
Kwanza maduka yao yako so depressing...rangi rangi nyingii utafkiri yale cover ya sinema za porn za 1960's
pili sijui kwa nini wanauza vitu feki feki tena kwa bei za juu
na mbaya zaidi wameingi akwenye mkumbo wa network za ufisadi na baadhi ya maofisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.