Search results

  1. PatPending

    Nissan Patrol Y61 mwenye uzoefu nayo - Spea, Mafuta

    Haya si ya kweli ndugu. Mimi ninazo Y61 mbili zenye engine ya TD42, moja pick up na nyingine Wagon. Nimeziendesha zaidi ya kilometa 140,000 kila moja. Ni magari magumu yasiyokuwa na shida. Yanafanana sana na Landcruiser 80 series zenye 1HZ. Ziko comfortable, hazina longo longo za umeme—...
  2. PatPending

    Sakata la EAC: Watanzania tuache Political Mobilization, Tufanye Economic Calculations

    Hakuna jibu rahisi katika hili. EAC na SADC kwa pamoja zina umuhimu kubwa katika ustawi wa taifa hili. Umuhimu huu unakwenda zaidi ya sababu za wazi ambazo wengi wameshakwisha zijadili za biashara. Kwa wale wenye kujidanganya ya kwamba SADC ndio suluhisho angalieni takwimu mzipendazo za mauzo na...
  3. PatPending

    Siku Nilipotua kwa ndege Bukoba nikiwa peke yangu!

    Majibu ya mheshimiwa waziri yanaleta maswali mengi kuliko majibu. Suala la msingi hapa ni matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Kiwango cha kodi yangu mimi na wewe kilichotumika kuiendesha hivyo ndege ni kikubwa kiasi cha kwamba kuna uwezekano kingetosha kulipia madawa ya kuwauguza wapiga kura...
  4. PatPending

    Sitta: Uganda, Kenya, Rwanda waizidi kete Tanzania!

    KIkubwa toka kwa maoni ya ndugu Sitta ni kwamba na yeye pia yuko gizani kuhusiana na mkutano huo. Kwa maneno mengine he is as clueless as the next layman. Nashindwa kuelewa ni namna gani wizara yake au huyu waziri anavyofanya kazi ikiwa mambo ya muhimu ya sera za biashara na utawala...
  5. PatPending

    Mangula hamtaki Makamu Rais

    Taifa lilikuwa linahitaji kura ya maoni kuhusu muungano kabla ya kukimbilia kuunda tume ya kukusanya maoni ya katiba. Kwa kukubali uwepo wa tume, wananchi wa pande zote mbili za visiwani na bara wamenyimwa fursa muhimu ya kuamua mustakabali wao na wa vizazi vijao. Matokeo ya kura ya maoni ndiyo...
  6. PatPending

    Nguli wa Gitaa Afrika, Diblo Dibala " Machine Gun"

    Raha ya muziki wa Congo ni kwamba wapiga ala wengi wako mobile. Leo anaweza akapiga na Wenge, kesho yuko kwa Fally au Victoria Eleison n.k. Hata hivyo "ufagiliaji" wa wanamuziki hutegemea pia mapenzi ya shabiki kwa bendi husika. Alain Makaba "Prince" ni mzuri na mchango wake kwa Wenge na hata...
  7. PatPending

    Deni La Taifa: Wabunge, Wanasiasa Wachumi Na Wachumi Wanasiasa

    Mchambuzi najua ndani ya CCM na serikali kuna vichwa vingi kama wewe na wale waliokuwa walimu wa chuo akina mama Tibaijuka, Benno Ndulu, Samuel Wangwe, Rutasitara, Likwelile n.k, swali ambalo limekuwa linanitatiza ni kwamba hivi hawa wanataaluma wote hawatoi michango yao katika kuchambua haya...
  8. PatPending

    Deni La Taifa: Wabunge, Wanasiasa Wachumi Na Wachumi Wanasiasa

    Mkuu sababu kuu ya kulipa kodi inatokana na haja ya kuwekeza katika huduma mbalimbali ili mlipaji kodi aje afaidike. Kwa mantiki hii ni muhimu kodi ikaonekana inamnufaisha mwanachi na vile vile pia zoezi zima la ulipaji kodi zikiwemo sheria, taratibu na kanuni husika zikamfanya mwananchi aone...
  9. PatPending

    Deni La Taifa: Wabunge, Wanasiasa Wachumi Na Wachumi Wanasiasa

    Mkuu just a word of caution, the informal sector thrives on remaining pseudo anonymous and relatively from regulation. The fact that it accounts for 7 in 10 of the workforce (I am sure this stat is a bit misleading for it definitely includes those in agriculture) stems from the ease of entry and...
  10. PatPending

    Deni La Taifa: Wabunge, Wanasiasa Wachumi Na Wachumi Wanasiasa

    Mkuu, huu ndio uzi unaoshikiliwa sio tu na wanasiasa wetu bali hata pia wataalam ambao tunapaswa tutarajie bora toka kwao. Suala la uwezo wa kiuchumi wa nchi kuwa la kitakwimu zaidi badala la uhalisia ni jambo ambalo limekuwa linazungumzwa kwa muda na wadu wengi wa maendeleo na pengine kutoka na...
  11. PatPending

    Ufisadi: Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo

    Tunahitaji a public ombudsman au kamishna wa bunge ambaye atakuwa ana kazi ya kuhakikisha vitu kama hivi pindi vinapotokea hatua zinachukuliwa dhidi ya wakosaji. Hapa kamishna wa bajeti, madeni ya nje, gavana wa benki kuu, mawaziri wa fedha na makatibu wakuu wa wizara ya fedha ni lazima wawe na...
  12. PatPending

    Deni La Taifa: Wabunge, Wanasiasa Wachumi Na Wachumi Wanasiasa

    Application of the two public finance "rules" notwithstanding, there is an inherent need to first appreciate the multidimensionality of poverty and second not to allow ourselves to get brainwashed by political rhetoric in relation to growth. Allow me to expand albeit briefly, for starters on the...
  13. PatPending

    Deni La Taifa: Wabunge, Wanasiasa Wachumi Na Wachumi Wanasiasa

    Mkuu kwanza shukrani sana kwa kuleta suala la maana hapa jamvini, nyuzi zenye maudhui muhimu kama hii zimekuwa adimu siku hizi. Naomba turudi kuzipitia "kanuni" hizi ulizozileta za usimamizi wa madeni ya umma na mahusiano yake na hali ya uchumi ya taifa. Mosi ni vyema tukajiridhisha ni kwa nini...
  14. PatPending

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Hii ripoti nimeisoma na kutokana na maudhui yake sidhani kama tume iliyoundwa itaweza kufanya kazi nzuri kama hii ya wadau hawa wa elimu. Nashangaa wameunda tume wakati ripoti hii ya kwao wenyewe imeainisha mapungufu ya serikali katika kufanyia kazi mapendekezo ya tafiti hususani yale...
  15. PatPending

    Toyota Land Cruiser for Sale

    Kilometa laki tatu kwa HZJ105 na ya mwaka huo ni kilometa chache sana. Kumbukeni ni gari lenye miaka 13 hivi na kwa kilometa ina maana lilikuwa linatembea km 23,000 hivi kwa mwaka, ambazo ni za kawaida sana. Gari ni bado zima sana hilo. Hizo Landcruiser Standard huwa zina roho ngumu kama Hardtop...
  16. PatPending

    Mineral & Energy Prof. Muhongo Questions Zittos Stand on Gas Exploration Moratorium

    Haya ni maneno ya dharau toka kwa Mh. waziri. Zitto anaweza asiwe mtaalamu wa gesi na mafuta ila ni mtalaamu wa masuala ya fedha za umma, utungaji sheria (kwa nafasi yake kama mbunge) na kutetea maslahi ya walio wengi. Sababu alizotoa Zitto za kusitisha upigaji mnada wa leseni ni za msingi...
  17. PatPending

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    RIP Ndugu mwandishi. Hii haiwezekaniki kutetewa. Ni lazima watu wawajibike
  18. PatPending

    Agrisol na kilimo Tanzania

    $100 mil katika miaka kumi, kwa hesabu za shule ya msingi ni $10 kwa mwaka ikiwa zitatolewa kwa mafungu yenye uwiano. Hiki ni kwango kidogo sana kuwekeza katika miundo mbinu kwa gharama tunazoelezwa kila siku na watendaji wetu. Huu ni ufisadi mtupu na inashangaza kuona utu wa mtanzania ukiuzwa...
  19. PatPending

    Gharama za kutoa gari bandarini kuanzia July 2012

    Mabadiliko mengine ni kwamba dumping fee inakuwa applied mpaka kwa vyombo vya utility kama vile Pick Up na Canter
  20. PatPending

    Zanzibar ni sawa na Kigoma, asema Shamsa Vuai Nahodha

    Inasikitisha, bunge limejaa vijembe badala ya hoja za msingi. Ni vyema hawa waheshimiwa wakarudisha posho zetu kwani hatukuwapeleka bungeni kwenda kupashana, wakitaka kupashana waingie studio au mitaani.
Back
Top Bottom