Search results

  1. WASIWASI

    Tukuiachana na mahubiri kupigwa marufuku kwenye mabasi ni kero gani nyingine zinazomkabiri abiria?

    Zile movie na miziki kwenye basi imekua tatxo hawangalua inatakiwa iangaliwe na watu wa umri gsni...unakuta mtu upo ma watoto lakini wanachoonosha kina enda kinyume na umri ulioruhusiwa kuona
  2. WASIWASI

    Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Kwa kumbukumbu zangu tafuta kitabu cha kiswahili darasa la saba mtaala wa miaks ya 90s....sehemu ya tatu alienda kwa mtabiri wa malimwengu akashauriwa arudi tena msituni huko shetani alimwambia awape marafiki zake ...aliporudi kwa mtabiri akamwambia marafiki wa shetani ni wezi na wanyang'anyi so...
  3. WASIWASI

    Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

    Hii simulizi ilikua kwenye kitabu cha kiswahili shule ya msingi miaka 90s....
  4. WASIWASI

    Kwa sasa, mita nyingi za Luku zinaondolewa Tariff Zero

    Nilikwenda office za tanesco baada ya kufungiwa umeme kuuliza kuhusu tarif zero walijibu hiyo tarif kwa sasa haipo wameifuta
  5. WASIWASI

    Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

    Kuna aina ngapi za stingless bees?
  6. WASIWASI

    Mbona foleni zimezidi?

    Hali ni mbaya sana Bagamoyo Road.
  7. WASIWASI

    Polycarp Pengo hajamuandaa askofu Ruwa'ichi alipokuwa seminari. Aliyemuandaa Ruwa'ichi ni padri Cyprian Tirumanywa wa jimbo kuu la Mwanza

    Kuliwahi kua na askofu mkerewe tatizo hujui historia , unamkumbuka askofu Fortunatus Lukanima?
  8. WASIWASI

    Polycarp Kardinali Pengo atajiuzulu dakika yoyote kuanzia kesho

    Acha uongo Pope wa sasa aliingia akiwana 78yrs na ikumbukwe pope anachaguliwa na cardinal wenye umri chini ya 80yrs
  9. WASIWASI

    Kwanini bia ya Castle milk stout imeadimika?

    Mbona ipo kibao huku boko? Au wewe upo boko ipi?
  10. WASIWASI

    Makosa katika maandishi ya lugha ya Kiswahili, kwanini yanashamiri?

    Matumizi ya neno onesha na onyesha ...inanikera sana hadi wasomi wa kiswahili wanakosea hapa
  11. WASIWASI

    Sakata la Mafao: Spika wa Bunge kaudanganya umma? Hongera marehemu Bilago kwa kuacha alama

    FAO LA kukosa ajira ni balaa zaidi nalo liangaliwe
  12. WASIWASI

    Sakata la Mafao: Baada ya kauli ya Spika na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, CHADEMA kuweka mezani hoja nyingine Alhamisi, November 29

    Kuna FAO LA kukosa ajira ...Dah hili ndo balaa zaidi kwa wafanyakazi wa mikataba
  13. WASIWASI

    Ubaguzi unauma usikie tu; Ninabaguliwa eneo langu la kazi

    Majina wakati mwingine huponza pia...siku tutakapovuka kihunzi cha majina yanayo onesha makabila yetu labda ubaguzi utapungua...
  14. WASIWASI

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Dawasco ntapataje kumbukumbu namba kwa ajili ya malipo nwezi huu? Message mlotuma imefutika ...
  15. WASIWASI

    Baraza la Maaskofu Katoliki watoa tamko kulaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu

    Unakosea Pengo sio mkuu wa kanisa katoliki Tanzania na hakuna wakuu wa kanisa kwenye nchi...kasome majukumu ya cardinal na ukumbuke kuna makadinali ambao sio maaskof he hao inakuaje?
Back
Top Bottom