Search results

  1. L

    Driving training course!

    Mkuu nenda CITY Driving school wana matawi Shekilango, Mbezi ya Tegeta, na ubungo external. Hawa wamesajiliwa na VETA. Wanafundisha kwa wiki 4 na ada yao ni laki moja na sabini.
  2. L

    Mhe. Godbless Lema alichana Jeshi la Polisi

    <br /> <br /> Nina wasiwasi na uelewa wako mkuu! Kama umeiona hiyo hotuba ya mh Lema kwa mtizamo huo basi unaumwa na hujijui, omba ndg zako wakupeleke hospitali! Usiende mwenyewe.
  3. L

    Hodi wana Jf.

    Sangara nashukuru sana kwa kunikaribisha! Tupo pamoja mkuu.
  4. L

    Hodi wana Jf.

    Jamani hodi humu ndani, hodiii, wenyeji mpo?.Naomba mnikaribishe niwe mmoja wa familia yenu ya jf.
Back
Top Bottom