Search results

  1. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 10. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× "Muda wa takribani lisaa limoja lililopita ulifanikiwa kujifungua kwa njia ya kawaida kabisa, ah, jambo ambalo si la kawaida mtoto alikua...
  2. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 09. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× Mdogo wangu alikua mcheshi sana... Sitaki kumshushia lawama kuwa naye alihusika katika kifo cha mme wangu. Hivi kweli mdogo wangu Vain awe...
  3. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    Hivi... Wasomaji Mpo kweli hahaha
  4. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 08. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× Basi tulienda hospitali na kukutwa nina ujauzito. Hakika ilikua furaha sana hasa kwa mume wangu. Bila shaka alisubiri kwa muda mrefu sana...
  5. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 07. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× Mwezi wa Kumi na moja mwaka 2021, nilipata shahada ya kwanza ya ualimu. Mwezi huohuo nikapata na shahada nyingine ya Ndoa. Alhamdulillah...
  6. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 06. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× "Kwani.. Ah. Kwani wewe hauna mke jamani?" nilijikakamua kuuliza swali ambalo sikujua hata limetokea wapi. Lakini nilijipa ahueni kwamba...
  7. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 05. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× Nikitoka mbio kurudi hadi pale nilipoishia kumsindikiza yule mwanamke; hakukuwa na mtu. Alishatoweka Talhat. Nikarudi ndani na kuparamia...
  8. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 03. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× Naomba nimalize na huyu mwandishi. Beloved One, My Heart Beat, My Heart Master, Kipenzi Cha Wapenzi.. Aliniandikia PENDO HURU na simulizi...
  9. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    MTUNZI: XAVERY E. LUOGA RIWAYA: "MACHOZI YA DAMU" SEHEMU YA 01. WhatsApp NO. 0672493994. #SimuliziHuruMediaProduction ×--------------SHUMP---------------× DAR ES SALAAM: "Kwa Majina naitwa EPIPHANIA WILNERY MKOMBO Au Mama Bright Kama ilivyozoeleka hapo mwanzo" Sauti ya Kigugumizi iliyoanza na...
  10. Xav Emmanuel

    Simulizi Huru Media Production

    Uzi maalum wa kupata simulizi kutoka Simulizi Huru Media Production. Karibuni
  11. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 12 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email; xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Da, unanipa mtihani dear… kwa kweli siwezi!” alijibu… “ohp!” hakuwana cha kuongea Roy alibaki kimya tu!. “Ok, fine. Tunaenda kulala. But ole wako...
  12. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 11 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email; xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Rey!, ukiyasindikiza mapenzi jua kabisa utachelewa kurudi… yatakutongoza uyafikishe hadi kwao!, ukikubali tu kuyasindikiza mapenzi. Umekweisha. Kwisha...
  13. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 10 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email; xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Ah!, bro ivi ushajaribu kula mboga za majani zikiwa katika mapishi tofauti. Yaani chaina ya kukaanga na chaina ya kuunga na chaina ya kukausha kwa pamoja...
  14. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 09 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email; xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Sasa kama ni hivyo, tumwache tu wapenzi.. ajue kwanza hasara na faida za mapenzi. Mbichi na mbivu za Roy afu akiharibika atakuja kuomba ushauri.. binadamu...
  15. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 08 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email; xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Sijakuelewa..”Reeny alichomoka mikononi mwa Roy na kuuliza. “Nataka nikupeleke kule anaishi Rey!. Naomba ukamjenge kwa fikra na kumwaminisha kuwa, mume...
  16. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 07 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Hapana bhana na haiwezi kuwa. Nampenda na kumweshimu kama kaka yangu. Labda tungekuwa wapenzi toka mwaka wa kwanza. Lakini mimi nishachumbiwa na mchumba...
  17. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 06 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Kha!, lakini Roy mboni we huna kipingamizi kabisa katika kupendwa. Kila neno lako ni zawadi kwa watoto wa kike. wengi wamekuja wenyewe!. So what? Unataka...
  18. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 05 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- ILIPOISHIA… “Yes Man Good Idea.. daa” Bahame akatoweka zake baada ya kutoa msaada. “DUCE 2nd Year!” akalivamia kundi hilo na kutafuta mmoja baada ya mwingine; Hora...
  19. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 04 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- Akaniweka logde kule kurasini!. Alilipa kila kitu… yaani kwa siku hizo tatu.. alibonyeza kila sehemu ya mwili wangu.. nikajiona nimefika vilele vyote duniani.. siku ya...
  20. Xav Emmanuel

    Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 03 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- “Hiyo ni mada ndefu sana!. Ebo!. Nyanyuka haraka twende mbele nitakuelezea njiani!” Sophia alimtaka mwenzake kunyanyuka. Wakanyanyuka kwa pomoja huku bado macho ya Rey...
Back
Top Bottom