Search results

  1. T

    Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

    hata nchi imekwisha kwani siku hizi hata watu hawafanyiwi VETTING kabla ya kuteuliwa kwani huyo jamaa ana shule anamiliki inaitwa SOUTHERN HIGHLAND ilishafutiwa matikeo kwa wizi wa mitihani leo hii unamteuwa kuwa naibu waziri wa elimu jk anachekesha kweli siku moja atemteua PAPA MSOFE kuwa...
  2. T

    Hawa SSRA wanatumiwa na nani?

    Hapa ndio naona kuwa bunge letu ni dhaifu na rais wake dhaifu,hivi unaweza kupitisha kitu kama hiki kweli''''''pia nashangaa ssr wametoa wapi jeuri ya kusema hawatishwi na kelele za wafanyakazi wakati ndiyo wateja wao'. Lakini msemo mmoja unasema ikibidi kufa tufe tukidai haki zetu,wafanyakazi...
  3. T

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    nimeamini watanzania ni ngo,mbe kama wajerumani walivyosema kwani kitu kiko wazi eti mtu anabisha
  4. T

    Ninavyomjua Hemedi Msangi

    haya ya nchemba inashangaza,lakini kupigwa kwa ulimboka mbona hawajaahirisha bunge
  5. T

    UBABE WA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI

    UBABE WA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI Inatubidi sasa tutumie JF kufikisha ujumbe wetu sisi watumishi wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,kueleza kilio chetu juu ya unyanyasaji tunaofanyiwa na MAMA huyu. Tangu ujio wake MAMA huyu amekuwa akitutukana sana kuwa hatufanyi kazi ila...
  6. T

    Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

    wabongo ndiyo waliowao kwani unashingilia kwa kufaidi kitu gani jana WAMEZIMA UMEME ILI WAIBE KURA NA WAMEFANIKIWA LAKINI DAWA YENU IKO JIKONO ANGALIENI ZAMBIA
  7. T

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    tumejionea wenyewe kuwa serikali ni legelege na wabunge wanafikiri kwa kutumia makalio issue hii ingekuwa imeisha mapema mbona wafanyakazi wakiandamana kudai tu ujira mzuri wale wajinga ffu watamwagwa kibao mbona kwenye visima hawapelekwi pia kwa mfano ridhiwani kikwete anamiliki lakes shells je...
  8. T

    Leo ni Wizara ya Magufuli

    Hana maana mnampa sifa za bure mbona upanuzi wa barabara ya ubungo hauongelei na vipi zile fedha zilitengwa za barabara ya kinyerezi hadi mbezi beach kupitia goba enzi za benny mkapa au kwa kuwa hakuna wakwere ndiyo maana amenuna
  9. T

    Leo ni Wizara ya Magufuli

    Jinsia yake haina maana kwetu ila ina maana kwa ccm kwani wabunge wenyewe ni majinga kwani hata vitu vya maana wao ni kuzomea nawapa bigup chadema kwani wanaweza hata kuwa wabunge nchini marekani.namuunga mkono olesendeka bunge livunjwe turudi kwenye uchaguzi
  10. T

    Leo ni Wizara ya Magufuli

    Lakini mbona powerpoint yake haina maana kama barabara za ubungo na kinyerezi amekula hela hizo na sasa ni barabara za bagamoyo tu ndiyo zinasimamiwa na ambazo hazina tija kiuchumi
Back
Top Bottom