Search results

  1. Makiri Unguluma

    Mtoto wa kinyakyusa leo ametutenda

    Leo tulikuwa tunatoka Mbeya na basi la Upendo, muda mfupi baada ya kuanza mtoto mmoja alimuuliza kondakta je tumefika Iringa. Konda akamwambia bado, baada ya kufika igawa mtoto akauliza tena swali lile lile, konda akasema bado. Tulipofika Makambako mtoto akauliza tena, je tumefika Iringa konda...
  2. Makiri Unguluma

    Hivi ni kweli Form six wanaanza masomo bila wadogo zao

    Jamani kwa mjibu wa ratiba ya shule za sekondari Advanced level wiki hii shule zinafunguliwa. Kwa maana hiyo waliokuwa form five mwaka jana wataanza masomo kidato cha sita. Sijui wengine mnafahamu nini, maana tulizoea miaka mingi ya nyuma form five walikuwa wanatangulia shuleni kujisajili na...
  3. Makiri Unguluma

    Salamu kwa ndugu yangu Dar Es Salaam

    Nimependa nikusalime ndugu yangu maana tangu siku zile za zamani mimi nilipopewa hadhi ya kuwa makao makuu umekuwa ukinibania. Ndugu yangu wewe hukukubali kunipatia haki zaidi ya kuruhusu tu waheshimiwa waje kufanya mikutano kwangu. Kwa roho nyeupe kabisa nafurahi sana kwa sasa undugu wetu...
Back
Top Bottom