Search results

  1. Rashdind

    INAUZWA Wauzaji wa Nguo za Mitumba Aina Zote

    Mzigo mpya umeingia. Mzigo mpya
  2. Rashdind

    INAUZWA Wauzaji wa Nguo za Mitumba Aina Zote

    Huyu ndio muuzaji boss.
  3. Rashdind

    INAUZWA Wauzaji wa Nguo za Mitumba Aina Zote

    Karibu sana boss
  4. Rashdind

    INAUZWA Wauzaji wa Nguo za Mitumba Aina Zote

    Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia 0763148588.
  5. Rashdind

    Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

    He! makubwa jamani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Rashdind

    Kubadili rangi ya gari

    Uzi huu japo ni wa zamani ila nashukuru umeweza kunisaidia sana kwa leo, ibarikiwe jamiiforums.
  7. Rashdind

    UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

    Jamaa hajafungwa wala nin, ni watu wanaomchafua ndo wamezusha hiyo ilikua issue ya zamani ila alikata rufaa akashinda kesi, we ingia instagram kama unamfollow ameelezea hiyo issue kwa kirefu kabisa na yuko zake mbugani na demu wake wanakula bata tu kama kawa.
  8. Rashdind

    Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

    Una umri gani mkuu kama hautojali?
  9. Rashdind

    Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

    Kwa hiyo ye kutembea na mume wa mtu alitegemea nin kama sio kuharibu maisha yake tena kwa mikono yake.
  10. Rashdind

    Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

    Na ukizingatia hakubakwa alafu anakosa tena kubwa sana la kutembea na mume wa mtu.
  11. Rashdind

    Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

    Kweli kabisa sababu inategemea na gari imetembea kilometer ngapi pia sababu huwezi fananisha bei ya gari iliyotembea km 100,000/= na gari iliyotembea km 20,000/=
  12. Rashdind

    Hivi kwanini wasanii (mfano MC Pilipili) huuziwa magari bei juu kuliko watu wengine?

    Sasa si inategemea ya mwaka gani mkuu kama ni ya 2015 kwa nchi kama ya kwetu utasema yuko nyuma pia?
  13. Rashdind

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Tuweke hiyo video hapa mkuu jina na sisi tupate maarifa zaidi.
  14. Rashdind

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naongelea kwenye upande wa spread yani nani mwenye spread ndogo zaidi mkuu?
  15. Rashdind

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kati ya pepperstone na tickmill yupi ni mzuri zaidi?
  16. Rashdind

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Sasa nani kawashawishi kuingia wakat watu waliambiwa wasome vitabu tangu siku ya kwanza na vitabu viliwekwa tangu uzi wa kwanza wa ontario vitabu visivyopungua 5 na kwenye vitabu kila kitu kimeelezewa humo alafu anaenda kukopa bank na kuja kulalamika kwako, wakat hakuna mahali kwenye vitabu...
  17. Rashdind

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Duh hongera mwalimu, ila ndo nafasi zishabaki 149 sio 150 tena.
  18. Rashdind

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Promo muhimu mkuu lakini ye alisema vigezo vitatumika siimanishi nipate nafasi ya upendeleo bali kwa vigezo vile vitakavyotumika kama nitakosa sio mbaya pia, samahani lakini kama nimekukwaza ila ni namna tu ya kuonyesha uhitaji wa kuhudhuria mafunzo pamoja na kumpa moyo mdogo wetu ONTARIO...
Back
Top Bottom