Search results

  1. Ghiti Milimo

    Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

    Ulikuwa ni usanii tu,ili aonekane kuwa hana nia ya kutaka aongezewe muda,na ANAWACHUKIA wanaotaka aongezewe muda. Kama angekuwa halitaki hilo,angemkemea Spika Ndugai, alivyosema, "ATAKE ASITAKE,ATAONGEZEWA MUDA"
  2. Ghiti Milimo

    Adhabu ya kadi, Majeraha na dharura ndivyo vitu vitakavyomuweka nje au benchi Saidoo Ntibazonkiza

    Wewe na Simba tu! Hebu utudadavulie na issue hii!
  3. Ghiti Milimo

    Simba hii inakufa kama zilivyokufa African Lyon

    Ilishindwa kufa Yanga Bakuli, ije ife Simba hii???
  4. Ghiti Milimo

    Kushabikia Tena Simba bye bye

    Naona umesharudi likizo, baada ya "KUFURUSHWA" kule South! Jamaa walipumzika kidogo! Machungu yamepungua, sasa unaendeleza ile kazi yako ya "kupambana" na Simba!
  5. Ghiti Milimo

    Barcelona yaishangaza PSG

    Ndiyo! Ni MAKINDA kama CLEMENT MZIZE!
  6. Ghiti Milimo

    Mzee Stephen Masato Wassira wewe na watu wa umri wako msipostaafu unadhani vijana watapata wapi ajira?

    Yeye neno KUNG'ATUKA halijui! Ang'atuke, aende wapiii! Amuachie nani..!
  7. Ghiti Milimo

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Yaani huyu, hata Ubunge hakustahili. Ni mambo ya JPM, kutaka ku 'balansi' ,eti, kule kuna SUGU, nasi tuna Mwana………..!
  8. Ghiti Milimo

    Ngereza: Hata Mo atoe 500million Simba ni mbovu

    Mkuu Labani og , huyo MCHAMBUZI MAHILI, MKWELI, amelichambua lile GOLI TULILOZULUMIWA. Umemsikia/umemsomaaa?
  9. Ghiti Milimo

    Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Na mngeshinda nyie UTOPOLO, sina shaka mngekodi hata ndege kuzungusha BANGO Nchi nzima kutangaza "KUMKANDA " Mamelod ! Kukong'otwa kwenu, kumeepushwa mengi! Tusingepumua na NYUZI mpya za kusifu na kuponda upande wa pili za akina Labani og kila baada ya nusu saa!
  10. Ghiti Milimo

    Ngoma ngumu kwa Mamelody, washusha kiingilio. Injinia awashika pabaya

    Na hawa jamaa wakishinda,na wale wa kule Uarabuni washindwe, sijui kama TUTAPUMUA!
  11. Ghiti Milimo

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Wana akili basi hao!? Ye hiyo sare ya 0:0 anahesabu kuwa wameshinda 2:0
  12. Ghiti Milimo

    Msemaji wa Tabora United amvaa Jemedari Saidi

    Toka lini Utopolo kama wewe mkampenda?
  13. Ghiti Milimo

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Sikutegemea kuwa, Rais Mwinyi atakuja kusimamia UPUUZI huo!
  14. Ghiti Milimo

    Mbinu za kujikwamua WhatsApp ban.

    Ushamba unakusumbua!
Back
Top Bottom