Niliwahi kusikia kuna kitu kinaitwa "NATURAL JUSTICE" sasa hii imekaaje ? Mtu alalamike kuwa NIMEDHALILISHWA , mtu huyo huyo ASIKILIZE lalamiko lake , na kisha mtu huyo huyo ATOE HUKUMU ya shauri lake . Mimi sijui sheria nauliza tu HII IMEKAAJE ???????.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitapunguza umaskini wa Wagogo bali itarahisisha Wagogo kusukumwa nje ya jiji na kuwapisha wageni (wenye uwezo kukaa jijini) kama vile Wazaramo wlivyopisha Kariakoo ,Wamasai walivyopisha Arusha na Wasafwa walivyopisha Mbeya NK.
Nakumbuka miaka ya mwisho ya 1980 na mwanzo ya 1990 Rais wa Kenya D. A. MOI alikuwa akisafiri na baraza lake lote la mawaziri. Nini ilikuwa kilikuwa kinamsukuma kufanya hivyo ??? (Akili mu kichwa).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.