Search results

  1. S

    European Aluminium windows grade 1

    Hizo aluminum zina bei mara mbili ya pvc. Ni za gharama sana. The best option ni kuagiza tu
  2. S

    Je, FedEx wana ofisi pale airport Dar? Kuna anaefahamu mizigo ya FedEx inafikia ofisi ipi Kwa ajili ya custom clearance

    Sitakuja kutumia FEDEX Tanzania maisha yangu yote. Kwanza imechukua zaidi ya mwezi mzigo kutoka airport alafu local charges zao zipo juu sana. Wanachelewesha makusudi unakutana na gharama za storage. Mzigo nilinunua $35 marekani. Ila gharama za hapa imeshafika 300,000 plus mpaka sasa hivi. Bora...
  3. S

    Kiwanja kinahitajika cha kununua

    Nahitaji kiwanja maeneo ya ununio, bahari beach, mbweni JKT au goba(karibu na barabara) kiwanja kiwe kinaanzia Sqm 1000 budget ni 40m kiwanja kiwe kina hati pm kama unacho
  4. S

    Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Bajaji wana app yao pia inaitwa Bajaji Chapchap
  5. S

    Kiwanja kinauzwa kigamboni Kibada

    pm namba yako please
  6. S

    Kiwanja Mbweni JKT na Malindi

    bei ziko pale pale mkuu. wenye navyo waje
  7. S

    RAV 4 3 doors inauzwa

    Rav 4 three doors Year 2002 cc 1800 inauzwa ipo mwanza. Inauzwa milioni 17 maongezi yapo. Imeingia Tanzania mwezi huu 05/2016. Plate number ni DG. Kwa mawasiliano piga namba +255784369230
  8. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Soma tangazo vizuri kuna machine za kofia hapo
  9. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Ok kamanda inbox your number ntakushtua. Malipo ni cash
  10. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    yes naweza kukuagizia. Inatengeneza pvc windows and doors. bei ni CFR $60000
  11. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    biashara kwa mwezi inatokana na mtaji wako. ukiwa na mtaji mkubwa unaweza kuleta ata tani 10000 kila mwezi. Faida ipo kubwa tu. mafunzo ni siku mbili tu maana machine yote ipo computerized
  12. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Hakuna process nyingi zenyewe zinakunja tu migongo
  13. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Hesabu nazo hujui. Tangazo langu ni kuuza machine na wala siuzi kiwanda changu. Pia hizo machine nazouza ni mpya na sijawi kutumia.
  14. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Karibu sana mkuu
  15. S

    NAHITAJI KIWANJA AU SHAMBA BAGAMOYO AU KIBAHA

    Habari wakuu Nahitaji shamba au kiwanja barabarani au karibu na barabara ya lami wilaya ya Bagamoyo au Kibaha. Mwenye nacho ani pm bei na size. Whatsapp 0685085378
  16. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    bati 4000 kila siku ikifanya 24hrs
  17. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Asante kwa maswali yako, Nakujibu kila swali kwa mtililiko uliotumia 1. Vibali sio vingi sana ni kama biashara nyingine tu ambovyo ni leseni ya biashara na TIN sema inaongezeka industrial licence ambayo inatolewa na wakala wa usajili BRELA, vibali kama vya usalama inabidi uwe navyo vyenyewe...
  18. S

    Nauza kiwanja kwa heka Goba, zipo heka 9 bei poa

    Km ngapi kutoka barabarani?
  19. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    nipo nyakato industrial area
  20. S

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Nimeshajaribu mkuu ni kazi sana. Im planning to expand ila next year sio sasa hivi
Back
Top Bottom