Search results

  1. kanyanga

    Rais Magu akamue zaidi ya hivi afanyavyo

    Ndg zangu wanabodi,nawasalimu nnyote. Ni kweli kwamba Mh Rais Magufuli si malaika kwamba,kila afanyalo asipate mtu wa kumkosoa.Hiyo ni hulka ya binadamu na hakika hakuna aliyekamilika. Lakino ndg zangu,kama angepewa nafasi na kueleza uchafu,upuuzi,wizi na ujambazi uliofanywa kwenye rasilimali...
  2. kanyanga

    Mkurugenzi Halmashauri Mbinga ni Majanga, DC fuata upepo

    Wana Mbinga,kutokana na matendo ya ubadhirifu wa fedha na ulaji rushwa kwenye kandarasi zinazotolewa na Halmashauri ya Mbinga,ikimuhusisha DED Bw Ngaga.Mkae mkijua muda si mrefu maendeleo katika Halmashauri hiyo yatakuwa sawa na hadithi za alinacha. Kandarasi zote za ujenzi katika Halmashauri...
  3. kanyanga

    Viongozi wa serikali na kosa la kugushi

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida hivi karibuni nimeshuhudia kosa la kugushi saini ya Mwl Nyerere katika Hati ya Muungano.Kwa yeyote mwenye kumbukumbu njema atakumbuka kwamba saini ya Mwl Nyerere siku zote alikuwa akiandika ufupisho wa jina lake la kwanza kwa maana ya J ikifuatiwa na ufupisho wa...
  4. kanyanga

    Uhusiano

    Wanajamvi naomba kuuliza kwa nini wasichana/msichana anapokaribishwa kutolewa out labda kwenda kupata lunch/dinner au chochote kama hicho siku ya kwanza lazima aje na msichana mwenzake kwamba wa kumsindikiza ?na unakuta siku mlipo kuwa mnapanga huo mtoko mlikuwa wawili tu ,Hatukupanga kwamba...
  5. kanyanga

    Muda muafaka kwa jk kondoka na wateule wake

    Ndugu zangu Wana JF,ushahidi ulio wazi umethibitisha bila kuacha hata chembe ya Shaka kwamba JK aliruka kuingia Ikulu kwa Kutumia EPA Flight No.2005 iliyoongozwa na Rubani Rostam Abdulrasul Aziz kwenye Control Tower ya Kagoda, Wantanzania wameumeza ukweli huo kwa maumivu makubwa sana huku...
  6. kanyanga

    Hamad Rashid Mohamedi na kamati za Bunge kubadili sheria za madini

    Katika kuchangia hotuba ya Ngeleja, Mh.Hamad Rashid amewataka wabunge wenzake kubadili sheria za madini kwa kutumia kamati za bunge ambazo zimepewa mamlaka hayo kisheria.Wazo hilo la Hamad Rashid limekuja baada ya kuongelea mkataba wa hovyo sana katika mgodi wa Mwadui Shinyanga.Nashindwa kuelewa...
Back
Top Bottom