Search results

  1. T

    Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Tafadhali s332/234 jina la shule ni morogoro
  2. T

    Nahitaji kufanya biashara ya vitenge

    Na vipi kuhusu watu wa ushuru, hawatasumbua njiani? Maana mara nyingi wanavizia mabasi yanayotoka huko wakijua kuwa lazima kuna wafanyabiashara waliofunga mzigo wa vitenge.
  3. T

    Consultancy

    Heshima yenu wakuu, naomba msaada kwa anayejua website inayoonyesha nafasi mbalimbali za consultancy kwenye NGOs mbalimbali mf. Evaluation, training n.k
  4. T

    Nyumba za wageni sinza

    Niliweka range ya twenty five to fifty mkuu...sasa hiyo thirty nafikiri ipo ndani ya range hiyo
  5. T

    Nyumba za wageni sinza

    Nina wageni jmn...
  6. T

    Nyumba za wageni sinza

    Wana jf naomba msaada wa anaefahamu nyumba za wageni nzuri na safi sinza...ziwe zina price range ya twenty five to fifty thousand. Na zisiwe mbali sana na shekilango road. Natanguliza shukrani
  7. T

    mapishi ya nyama ya kusaga

    Waweza pika sambusa, kababu, tambi na nyama ya kusaga e.t.c
  8. T

    natafuta nyumba usa river

    Natafuta nyumba ya kupanga USA RIVER Arusha, iwe na vyumba vitatu vya kulala na parking. Mwenye nayo ani PM bei.
  9. T

    Bata mzinga (turkey)

    Naweza pata mayai pamoja na vifaranga? Kama vipo bei yaendaje
  10. T

    Naomba tusaidiane kwa hili

    Naongeza jamani semolina ni nini kwa kiswahili
  11. T

    Rav4

    Wana jf nihataji kununua rav4 milango mitatu ya mwaka 1996-1999 (auto) ambayo ipo ktk khali nzuri. Bei isizidi 9m. Mwenye kuweza fanya hiyo biashara ani pm. Natanguliza shukurani!
  12. T

    Jordan express co ltd waagizaji wa magari ya bei poa kutoka japani.

    Rav 4 milango mitatu mnayo, na bei inaendeje
  13. T

    toyota altezza

    naomba kujuzwa wanajamii, hii gari (toyota altezza) ina matatiza gani ukilinganisha na toyota zingine i.e corolla
  14. T

    mark 2 gx 110 for sale 14 million tu

    Picha ni muhimu kwa matangazo mkuu
  15. T

    pajero jr vs rav 4 short chasis

    hbr wana Jamii forums, ningependa kujua kati ya pajero jr na rav 4 short chasis ipi ni imara zaidi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani (sokoni, kazini)
Back
Top Bottom