Search results

  1. J

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Inasikitisha,Inaogopesha na Inahuzunisha.Mungu mponye Mwakyembe.Amen
  2. J

    Kutumia condom.

    Duuh!umenifurahisha sana
  3. J

    ROHO inanisuta lakini utamu unanivuta

    Wewe ni tatizo unahitaji kutatuliwa.........kama huna tatizo achana na hiyo familia tafuta aliye wa hadhi yako.Mwisho wako umekaribia.
  4. J

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Naomba kufahamu tafadhali,Ni nini tofauti yao na imani nyingine?Je,kizuri au kibaya kwao katika imani ni nini?
  5. J

    Juice ya limau na asali inasaidia kupunguza mtu unene

    NiMESIKIA PIA KUHUSU MAJI YA UVUGUVUGU,ASALI NA MDALASINI INASAIDIA PIA.NAOMBA MNIJULISHE ZAIDI.ASANTE
  6. J

    njia gani nzuri ya birth control

    Loop/kitanzi ni njia nzuri isiyo na madhara,kubaliana na mwenzio muwe waaminifu kwani hakiitaji uchafu
  7. J

    Wimbo gani unaupenda zaidi?

    Nipigie wa AT
  8. J

    NAOMBA USHAURI(tatizo la mafuta)

    Asante,Ni lotion ndio zinanisumbua sana.Ni mwili mzima sio usoni pekee.Nimejaribu olievera lakini haikunisaidia.
  9. J

    NAOMBA USHAURI(tatizo la mafuta)

    Ninatatizo ambalo nahijaji ushauri.Mafuta yoyoyte nikipaka ninatoka rashes na kuwashwa pale nilipopaka yale mafuta.Nimepima allerge lakini sikuonekana na tatizo.Hali hii inanisumbua na kuninyima raha,naomba ushauri tafadhali.
  10. J

    PICHA: Wema na Diamond live bila chenga

    Binti anahitaji msaada....................sidhani kama yuko sawa kiakili.
  11. J

    Natafuta soko la kuku wa kisasa(broiler)

    ninaposema baada ya wiki tatu maana yake ni kwamba,ninamabanda matatu ambayo yanakuwa na kuku kwa kupishana,la kwanza wiki mbili ndio naingiza wengine 1000 kwenye banda lingine na hawa wakifika wiki mbili naingiza wengine banda lingine au kuwapishanisha kwa njia hiyo, na sivyo unavyofikira...
  12. J

    Natafuta soko la kuku wa kisasa(broiler)

    Kwa sasa ninauwezo wa kutoa kuku 1000(broiler) kila baada ya wiki tatu.naomba mnisaidie kwa mwenye soko la jumla ila asiwe dalali tafadhali.
  13. J

    Sio rahisi kumsahau ...... ndivyo anavyowaza huyu dada!

    Ni mke wa marehemu Samweli Wanjiru aliyekuwa mwanariadha wa Kenya
  14. J

    Mugongo Mungongo na vikuku

    Bado sijaelewa kabisaaaaa...........
  15. J

    Ni handsome au beautiful?

    Huyo ni handsome
Back
Top Bottom