NAOMBA USHAURI(tatizo la mafuta)

Jaydean

Member
Jul 5, 2011
16
1
Ninatatizo ambalo nahijaji ushauri.Mafuta yoyoyte nikipaka ninatoka rashes na kuwashwa pale nilipopaka yale mafuta.Nimepima allerge lakini sikuonekana na tatizo.Hali hii inanisumbua na kuninyima raha,naomba ushauri tafadhali.
 
mafuta gani?? lotion?.... ebu tafuta lotion yaolievera.....kama upo maeneo ya joto, si lazima sana kupaka mafuta hasahasa usoni.
 
Asante,Ni lotion ndio zinanisumbua sana.Ni mwili mzima sio usoni pekee.Nimejaribu olievera lakini haikunisaidia.
 
Ni kipimo gani ulichopima hata useme umepima allergy? Naomba toa jibu tukupatie msaada.
 
jaribu kurudia mafuta ulokuwa unatumia mwanzoni km umebadili aina ya mafuta unayotumia.

pia inawezekana tatizo lipo kwenye maji unayotumia kuoga or hata nguo.

au chunguza hata mazingira yawezekana kuna vitu vinakusababishia huo muwasho tofauti na mafuta.


ushauri zaidi. napaiya@hotmail.com
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom