Search results

  1. C

    Naomba kujibiwa haya maswali kuhusu Maiti

    Mambo mengi anayofanya mwanadamu ni kwa ajili ya nafsi yake. Ukijua hilo basi migogoro mingi na maswali mengi hupungua akilini.
  2. C

    Tuzidi kuiombea hii ratiba ya Mitihani

    Ameen, ninaomba pia🙏🙏
  3. C

    Kusikia njaa baada ya kula

    Check these 1.una stress zozote? 2.Una jambo unalisubiria kwa hamu 3.Je unasoma neno la Mungu mara kwa mara? maana kama usipokuwa na uelewa wa jinsi Roho yako inavyoona kiu na njaa juu ya neno la Mungu, unaweza kuitafsiri kama njaa ya tumbo la chakula. Kama unavyokula kila siku nafsi yako pia...
  4. C

    Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Uko sahihi sana Kalunya, matatizo mengi sisi wenyewe wanajamii ndiyo tunayatengeneza,its a never ending cycle, vizazi vyetu vitateketea tukiendelea kuishi ndani ya uovu, so tubadilishe kutokujali kwetu tuwe watu wenye kujali. Mungu utusamehe sisi🙏🙏🙏turehemu Bwana aikate hii laana isiendelee...
  5. C

    IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi

    Yes, hasa hasa kama hilo swala lina maslahi mapana kuliko ndoa, wana andika script na mke then series inachezwa. Mfano wanaficha siri kubwa inayoweza kuwagharimu sana. Pengine wametoa kafara tarajia ongezeko kubwa.
  6. C

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    kwa gharama ya kifo chake??! this fella had some other issues
  7. C

    Putin awe makini sana ataondolewa Madarakani na Warusi wenyewe

    Sijui kwa nini kila nikisikia habari hizi nakumbuka sana habari ya "Kishindo cha wakoma 4 kilicholikimbiza jeshi zima la washami" halafu natabasamu 😊😊 Na kwa vile leo ni jumapili wacha tuimbe kidodo. Hii vita ni Mungu mwenyewe anawashindia.
  8. C

    Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

    😂😂 unataka watu waoe majini, maana huyo ni jini.
  9. C

    Najutia sana jambo hili

    Moyoni mwako unajionaje? Je unajiona kama jamii inavyokuona, maana ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Akuonavyo mwingine huo ni mtazamo tu.
  10. C

    Urusi: Mamia wakamatwa katika maandamano ya kupinga kupelekwa vitani Ukraine

    maandamano ya kupinga kupelekwa vitani Ukraine mbabe kakwama
  11. C

    Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

    Wanaosema ni propaganda wawaulize majirani zetu wa kiKenya wanaoenda falme za kiarabu kuwafanyia kazi za ndani kile wanachokutana nacho.
  12. C

    Naomba radhi kwa akina baba wote humu!

    Huu uhasama baina ya wanaume na wanawake hautaisha, na ajabu kuna wanaooana bado
  13. C

    Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Labda masharti ya majini yao
  14. C

    Itafika wakati nami nitampata anipendaye kweli?

    Jiongezee thamani, ukiona bidhaa yako haifanyi vzr sokoni ujue its not a demand.
Back
Top Bottom