Search results

  1. maranduhussein

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Kweli akili yako kina kirefu tena kina kirefu cha Ibilisi mlaaniwa. Nani kakuambia kula nguruwe ni sunna?Huo ni ushetani unaofuatwa na hao akina Konde na Simba
  2. maranduhussein

    Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

    Tumia ubongo acha kua mpumbavu tupe ushahidi wa haya uliyoyaandika.Acha kufikirishwa na chuki zako kwa Binadamu anayeheshimika na Binadamu zaidi ya billion moja kote dunian. NI KWANINI NYIE WAKRISTU MUNAMCHUKIA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD(Rehma na Amani ziwe juu yake na kizazi chake kitoharifu) kwa...
  3. maranduhussein

    Mmoja wa magaidi kutokea Uturuki aeleza jinsi walifuata mahubiri ya Fariduni Shamsidin kwenda kuua Warusi

    Haya wewe mwenye akili mpya asokua chakavu unajua nn zaidi ya kula kila unacholishwa.Tunawajua Wakristu hawawapendi Waislam na sio tu kwamba hawawapendi wana chuki haswaaa na Waislam.Sijui kwaninin!!!Halafu kila anachoambiwa na Padri,Mchungaji au Muinjilist wake kwake ni sheria.Hao ndio wenye...
  4. maranduhussein

    Wanajeshi 16 waungua moto hadi kufa Gaza

    Mkuu wenzetu hawa akili zao zimeenda likizo,kwao Israel ni upande wa Mungu na Palestina ni upande wa Shetani.
  5. maranduhussein

    Iran yawageuka HAMAS, wapambane na hali yao maana walilianzisha bila kuiomba ushauri kwanza

    Baadhi ya Wakristu wasiofikiri wamebebwa na wimbi la propaganda za Islamophobia na kuwachukia Waislam,wameshibishwa kwa propaganda na maelezo potofu na sasa na sasa wanatapika CHUKI NA UADUI dihidi ya Uislam na Waislam. Haya twende hivyo hivyo
  6. maranduhussein

    Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Nawaza tu ingekua vipi yule anayeitwa humu JF na wenye chuki "mvaakobaz",angetembelewa na balozi wa Saudia,Iran au Qatar!!Ndiyo ungejua jinsi udini ulivyokolea JF. Neno "uwekezaji"lisingeandikwa kabisa.
  7. maranduhussein

    Israel imepata hasara. Hawawezi kuwaokoa mateka 230. Walitamani watoke na sinema nyengine ya Uganda

    Mbona huulizi kwann Marekani hakupeleka meli za kivita Darfur.?? Au tuambie kwann hakuna anayeleta uzi wa "Yanayoendelea Darfur"? Majibu yatakufanya ubadilike.
  8. maranduhussein

    Israel imepata hasara. Hawawezi kuwaokoa mateka 230. Walitamani watoke na sinema nyengine ya Uganda

    Naandika jina lako vita ikiisha nitakuuliza "yako wapi uliyoyasema" Kuuwa watoto kwenye incubators ndiyo ushujaa wa magaidi wa Israel.??
  9. maranduhussein

    Jielimishe kuhusu Israel na vita zinazomzunguka

    Hebu tuambie kabla ya 1948,Magaidi wa Israel walikua wapi?
  10. maranduhussein

    IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

    Tupe picha na ushahidi Acha kuwasikiliza magaidi wa Israel.
  11. maranduhussein

    IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

    Mkuu mashabiki wa Ukristu ambao ni ujinga tu unawasumbua ni wengi humu.Wao Israel ni Ukristu!! Hawajui chochote kuhusu Israel kama ambavyo hawajui chochote kuhusu Ukristu wanaouamini. Shame on them all We STAND WITH HUMANITY We STAND WITH PALESTINE
  12. maranduhussein

    IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

    Kupigania nchi yako ni ugaidi Wakati Nelson Mandela akipigania uhuru wa Afrika Kusin aliitwa gaidi.Jee Mandela alikua gaidi.? Huna hata akili kdg ya kutambua mambo ndugu yangu????
  13. maranduhussein

    IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

    Unaweza kutueleza ushahidi wa wapiganaji shupavu wa Hamas waliokutwa au kuuwawa wakiwa ktk miundombinu unayoizungumzia? Brainwashed poor man.
  14. maranduhussein

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kibaguzi wa Israel yanayoendelea Ghaza ni utibitisho wa unyama na kukosa utu kwa Wazayuni kwa lengo la safisha safisha ya kikabila inayofanywa na Waisrael mbelya Walimwengu wanaojiita wastaarabu. Ubinadamu kwanza Tusimamie Haki
  15. maranduhussein

    Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Ndugu yangu utatengwa na Kanisa bro,ukweli unaousema wao hawautaki. Ila HONGERA kwa kusimama upande wa HAKI
  16. maranduhussein

    Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Wakristu wanatuchukia sana sijui kwa nini,Kila utani na kejeli inaletwa kwetu Utasikia ooo mvaa kobazi. Halafu eti oooh kuna kamati ya maridhiano ya dini. Ninashangaa sana
  17. maranduhussein

    Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Naona issue ya mabikira 72 inawatoa roho sana nyie kila ninakosoma ni mabikira 72.Acheni wivu,na acheni chuki.Kwani wakipewa hao mabikira ww inakuuma nini.Wewe tembea na Yesu
  18. maranduhussein

    Kinachotetewa ni Nchi Takatifu Ezekiel 34:29, kwamba Israel hii ya Leo ni Taifa Takatifu hilo linahitaji Mjadala tulivu!

    Mkuu kuna watu humu (member) maisha yamewapiga na wamechanganyikiwa,kwa hiyo wanajifariji kuandika ujinga ujinga tu humu au kufanya vituko tu ili mradi siku iishe walale.Ni stress zinawasumbua tu,hawako kuelimisha ila kupoteza muda tu muda wao
Back
Top Bottom