Dah... kwa sera ya nchi yetu ukitaka kutumia umeme jua kwa kutaka kupunguza gharama utakuwa umefeli kwani gharama ya unit moja ya umeme ni kubwa kuliko ya Tanesco.... Tumia umeme jua kama tu unataka umeme wa kuaminika ...usiokatikakatika....au ukusaidie wakati Tanesco wamefanya yao..umeelewa au...
Dah.... tenga moja la nyanya ni elfu 60 pale mabibo.... na lina nyanya 600.... akigawa mafungu ya nyanya 4 atapata mafungu 150...akauza buku kila fungu atatengeneza laki na nusu...yaani faida ya elfu 90 kila tenga.....na kama akifanikiwa kuuza matenga yote 5 kwa siku hapo unaongelea faida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.