Search results

  1. D

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri Je, ndoto yake ya kuwa Rais...
  2. D

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Rostam Aziz alishauza hisa zake Vodacom muda mrefu sana. Hii nayo ni scandal kubwa zaidi, kwani hakulipa capital gains tax na sasa Vodacom Tanzania inamilikiwa na wageni kwa asilimia 100 kinyume na sheria.
  3. D

    Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Rene Meza kashatoroshwa nchini na Rostam Aziz na Tanil Somaiya, too late... Case closed
  4. D

    Kwanini Bw. Lowassa haongei Sana?

    Lowassa hawezi kuongea sana kwa sababu anaogopa kuzomewa kutokana na tuhuma za ufisadi, pia ni mgonjwa mpaka aotee siku akiwa fiti kusimama na kuongea japo kwa dakika 5. Huwatuma wapambe wake, ambao ni Peter Serukamba, Beatrice Shelukindo, Vita Kawawa, Makongoro Mahanga, Diana Chilolo, Kingunge...
  5. D

    Prof. Kabudi: Kabila Kubwa hutawala Kenya, Tanzania ni Kabila dogo

    Mkuu hapo umesema ukweli kabisa. Suala la ukabila wala siyo tatizo kwenye Urais wa Tanzania. Hakuna mtu aliyekataliwa kutokana na kabila lake. Mfano mzuri ni Prof. Mark Mwandosya 2005 alishindwa kura na mtandao wa Jakaya Kikwete, wala hakubaguliwa kutokana na kuwa eti yeye ni Mnyakusa na Kikwete...
  6. D

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Kauli ya Zitto Jan. 5, 2014 "Wakili Tundu Lissu amenituhumu kuwa nimehongwa magari 2 na mheshimiwa Nimrod Mkono. Mimi ninamiliki gari moja mbili, freelnder ninayotumia Dar Es Salaam na Toyota Carina ninayotumia jimboni." Kauli ya Zitto mwaka 2009 "Nimekuwa Mbunge miaka 4 sasa. Kweli...
  7. D

    Maswali mawili kwa Zitto Kabwe kuhusu tuhuma za ufisadi dhidi yake

    Kwenye ukurasa wake wa Facebook, Zitto Kabwe, amedai jana kuwa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amewahi kuhongwa pesa na Nimrod Mkono na Rostam Aziz. Halafu hapo hapo Zitto akadai kuwa Mkono ni mzee wake na kuwa amewahi kufanya kazi ya mafunzo ya uanasheria kwa Mkono. 1. Je, Zitto aliamua...
  8. D

    Ikulu yatoa tanzia ya Mandela, siku 18 BAADA ya kifo chake!

    Ifuatayo ni taarifa rambirambi ya Ikulu kuhusu kifo cha Mandela, iliyotolewa tarehe 23 Desemba 2013 -- Siku 18 baada ya kifo cha Madiba (5 Desemba). Hivi hawa Ikulu wako busy sana au? Hii tanzia ingetakiwa itolewe wakati wa msiba wa Mandela, siyo leo! Tanzia: Nelson Rolihlahla Mandela BABA...
  9. D

    REVEALED: How commercial poachers masterminded Kagasheki's fall

    I believe Kagasheki was the intended target of commercial poachers in their elaborate plot to have him removed from office. The other three ministers were just collateral damage since they were not directly involved in the government's wider anti-poaching drive -- they just took political...
  10. D

    Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeshindwa kazi; yatumika kumhujumu Rais Kikwete

    Hayo ni majanga makubwa ya JK kujitakia mwenyewe. Yeye kama anaona hao wasaidizi wake wanamfaa sawa tu kwake.
  11. D

    Kampuni ya kigeni ya Security Group inavyokwepa kodi Tanzania

    Ni kweli kabisa, kuna mtandao wa Wakenya hapa Tanzania wanashirikiana kuhujumu uchumi wa Tanzania, kupora hela na kunyanyasa wafanyakazi wa Tanzania.
  12. D

    Majibu yangu kwa Filikunjombe na Kangi Lugora

    CCM ingekuwa na Wabunge wanaojiamini, wenye msimamo na wanaothubutu kama Kigwangalla basi nchi hii ingefika mbali. Safi sana Mheshimiwa, endelea kuweka mambo bayana mpaka kieleweke. Kama walivyosema wenzangu, kamwe usikatishwe tamaa na kejeli wa waropokaji wachache humu JF. Kuna watu wako...
  13. D

    Kwanini wana CCM wanamuogopa Lowassa?

    Wapambe wa Lowassa sasa wahofia afya yake Baada ya zoezi la CCM la kujivua gamba kushindwa, Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi ya Richmond, Edward Lowassa, sasa amejitamba kuwa yeye ndiye Rais ajaye wa 2015. Watu waliokaribu na Lowassa wameniambia kuwa sasa hivi Lowassa...
  14. D

    Sababu hamsini za Lowassa kuwa mgombea wa CCM 2015

    UFISADI WA LOWASSA HUU HAPA:1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania.Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili.2. Ufisadi wa Nyumba ya...
  15. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Mamluki wa Lowassa mliopo humu JF, kamwambieni bosi wenu kuwa kazi imekuwa ngumu zaidi. Awaongeze posho, maana hamtalala usiku na mchana mkijaribu kuvuruga majadiliano huru humu JF bila mafanikio. Mungu ni mwema, Mungu hapendi mafisadi. Mungu iepushe Tanzania na Lowassa, ataitafuna nchi ibaki...
  16. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Sasa huo ni ushahidi au porojo? Tunafahamu fika kuwa humu JF kuna mamluki wamewekwa na Lowassa. Kazi yao kubwa ni kutoa matusi, kashfa na kujaribu kupotosha mwenendo wa mijadala kwa lengo la kuleta vurugu. Hamtafanikiwa! Watanzania wote wenye akili timamu hawamtaki wala kumhitaji Lowassa kwani...
  17. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Ufisadi wa Lowassa huu hapa: 1. Kununua jumba la kifahari London, Uingereza, lenye thamani ya zaidi shilingi bilioni 1 za Tanzania Metropolitan police wa Uingereza wanachunguza suala hili. Wamewasiliana na anti-money laundering unit ya Tanzania kuchunguza suala hili. 2. Ufisadi wa Nyumba ya...
  18. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Nimefanya research yangu kwa zaidi ya mwaka sasa kwa kuangalia mwenendo wa magazeti haya. Nimesoma kwa undani habari kuu wanazozitoa kwenye kurasa zake za mbele kuhusu Lowassa, nimeangalia picha wanazotoa za Lowassa kwenye michango ya harambee, nimeangalia anaandikwa mara ngapi, mara ngapi...
  19. D

    Magazeti yanayomsafisha Lowassa haya hapa!

    Ifuatayo ni orodha ya magazeti ya Tanzania ambayo wamiliki wake au wahariri wake au wote wamiliki na wahariri wamekuwa wakitumika kumsafisha Edward Lowassa katika mradi wake wa kutaka kwenda Ikulu 2015 kwa gharama yoyote ile. Magazeti haya yalitumiwa sana kupotosha umma kuhusu matokeo ya vikao...
  20. D

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Mkuu Fareed umesema ukweli mtupu! Kubenea is no more...
Back
Top Bottom