Search results

  1. msafwa93

    Natarajia kutua Mbeya saa nane za usiku je ni Pub gani inakesha?

    Nasoma ipo Mama john.. Mwairubi ipo mbele ya Carnival njia ya vumbi kama unaelekea Mzumbe..
  2. msafwa93

    Watanzania tuige mfano wa Ujerumani, tunapaswa kumsahau Magufuli na kuweka bidii kusonga mbele

    Kuna mtu anayeanzisha ugomvi kwa kudhani atapigwa.?
  3. msafwa93

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Acha Uongo.. Alimjibu "Sio kwamba sijui wanayopanga juu yetu ila nimeamua kukaa kimya".. Kisaha akaanzisha operation kimbunga.. Kagame hakuwahi jibu wala kuongea tena.. Acha kumfananisha Putin na vitu vya kijinga..
  4. msafwa93

    Mwanaume zingatia haya mambo madogo

    Kwahiyo mashabiki wa mbeya city tuishije.?
  5. msafwa93

    KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Sio baadhi ni mbey nzima sisi kwetu hamna maji huu mwez wa pili
  6. msafwa93

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Mi nilipata kazi kigamboni wakati naishi na familia ya mke na watoto wawili na mmoja anasom, chanika mwisho.. nilifanya miezi miwili nikaacha.. mshahara 450000..
  7. msafwa93

    CCM tuachane na Chongolo na Sophia Mjema

    4.Forced Labour
  8. msafwa93

    TBL wenzetu mmesoma shule zipi!

    Nimezunguka Tanzania yote sijawahi kuta bia inaitwa Castle Light, ila Castle Lite naijua..
  9. msafwa93

    Mfalme wa Dubai, Mohammed Maktoum mwaka 2018 alitua na ndege Loliondo na KIA kwa shughuli gani? Kwanini aliambatana na Abdulrahman Kinana?

    Magufuli Ni Dikteta.. Muda Ni Hakimu Mzuri Sana.. [emoji23][emoji23][emoji23]
  10. msafwa93

    Zitto anasema Bandari haijauzwa kwa vile hawawezi kuondoka nayo kama dhahabu

    Ukiuziwa Kiwanja Unakua Haujanunua Sababu Sio Huondoki Nacho.?
  11. msafwa93

    Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

    Ni ya C PWAA ft. Dully, Ngwair & Ms Trinity.
  12. msafwa93

    Waliotudangabya nahreal ni mtoto wa Nimrod mkono watuombe radhi

    Ni mtoto wa Mdogo wa Nimrod..
  13. msafwa93

    Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

    Game Of Thrones.. " I've been all over the world, my boy, and everywhere I go people tell me about the 'true gods', they all think they found the right one. The one true god is what's between a woman's legs. And better yet a queen's legs."
  14. msafwa93

    Madini adimu duniani tunawapa wageni na kuishia kupata 16%

    Ukiwapa Wenyeji Watafanyia Nini.??
  15. msafwa93

    "Tutajitosa": Namna Nyerere alivyobishana na Babu kuhusu Biafra mwaka 1968

    Kwahiyo Tanzania ndiyo iliivamia Uganda? Na sio Uganda iliivamia Tanzania na kuua waTanzania wenzetu kisha kuutangaza mkoa wa Kagera kama sehemu ya Uganda? Kisha Tanzania ikiwafurumusha na majeshi ya Uganda yalipoondoka, ndipo majenerali wa JWTZ wakamshauri Nyerere kuwa waingie mpaka Uganda...
Back
Top Bottom