Search results

  1. Shinbet18

    Hivi kwanini isitungwe sheria kwa hili?

    Kweli unamtaifisha kiwanja nyumba au unampumulia kisogoni huku umemuwekea hands up
  2. Shinbet18

    Nililishwa chakula chenye sumu safarini, nilisafiri kwa mateso na kufika kwa mbinde sana

    Gudume una maanisha basi lilifika Tanga mjini kabisa ndo ukala halafu likaanza tena muheza hale segera kuelekea Arusha[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23]
  3. Shinbet18

    Baba kanipa mbinu ya kuishi na mke namshukuru sana

    Nashindwa kuyaandika hapa kwasababu maneno ni mazito nashindwa tafsida gani niitumie kuelezea
  4. Shinbet18

    Baba kanipa mbinu ya kuishi na mke namshukuru sana

    Morning JF, Baada ya kuona mateso niliyokuwa napewa na mke siku za nyuma akanipa akili. Baada ya kutekeleza aliyoniambia nyumba imetulia cha ajabu sijatumia gharama yoyote kweli ukubwa dawa, asante baba yangu.
  5. Shinbet18

    Natafuta rafiki yangu kipenzi Alphoncine

    Hi JF! Looking for my beloved friend by the name Alphoncine. Mara ya mwisho tuliachana chuoni Morogoro yeye alihama chuo kingine katika mazingira ya kushtukiza mimi nikiwa sipo chuoni nilipata dharura. Alikuwa na rangi ya chocolate halisia alikuwa na dimpoz akicheka naweweseka. Mpole original...
  6. Shinbet18

    Mwalimu wa Physics na Hisabati anayekaa Korogwe aje tuzungumze

    Iji banga nkozi usheiwe[emoji482] [emoji482]
  7. Shinbet18

    Jioni hii naelekea Namibia Kwa mualiko wa harusi.

    Hi jf. Nimepata mualiko kutoka Kwa classmate wangu anaoa amenitumia tiketi tangu juzi amesisitiza nifike kwenye harusi yake. Baada ya harusi nitamsisitiza angalau nikaone hilo kabila linalokaribisha wageni Kwa kuwapa utamu wageni nawaahidi nitapiga selfie siku nikiondoka Namibia. Goodbye for...
  8. Shinbet18

    Tulioombewa mabaya yatufike na ex-wives wetu tukutane hapa.

    Habari za jioni! Wake au wachumba tulioachana nao huwa wanatuombea mabalaa yatufike.Je mwenzangu yamekufika au umezidi kufanikiwa? Mimi nimetusua dua yake haikufanikiwa?
  9. Shinbet18

    Jihadhari na mtu usiyemjua anayekushobokea

    Bujiboji hiyo dawa inaitwa nini nataka kuifahamu
  10. Shinbet18

    Nimevunja chaga makusudi ili tulale wote.

    Hakuna vita Bali hataki kila siku
Back
Top Bottom