Search results

  1. Bakeza

    Kada wa CCM amchana Mbunge Gambo kuhusu ufisadi aliofanya Arusha

    Japo ana hoja ila huo mwandiko Sasa!!!?
  2. Bakeza

    Dkt. Tulia anaenda kuliua Bunge kama atachaguliwa kuwa Spika

    Yeye mwenyewe aliletwa na Magu kugombea U-naibu Speaker unategemea nn mpaka hapo.
  3. Bakeza

    Dawasa: Mtambo wa Maji Makongo juu wawashwa na maji yaongezeka, Mabwawa 26 yaliyochepusha maji ya Ruvu yakamatwa!

    Write your reply...Mabwawa 26 ya kufugia samaki ndo yasababishe ukosefu wa maji Dar. Upumbavu mwingine bana
  4. Bakeza

    Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 15, Nov 2021

    Huyu anayereport leo vipi mbona anarukaruka tu hatupati mtiririko mzuri. Kuna shida gani hapo aiseee
  5. Bakeza

    Ni sahihi wabunge wa Zanzibar kukaa Bungeni wakati hoja za Wizara zisizo za Muungano zikijadiliwa?

    Kimsingi kwa ulichokiandika naona kuna hoja ya msingi kabisa
  6. Bakeza

    Kutoka Singida hadi Dar es Salaam kwa matumaini ya kupata msaada wa elimu

    Write your reply...Duuuh mkuu pole sana kwa mapito maana hakika umepitia changamoto nyingi sana japo pia inaonekana una elements za bahati kwa kiasi fulani refer yule baba aliyekupeleka shule na incedent ya kabisani kukutana na aliyekupa connection ya kazi. Ni wachache wanaweza kuwa na luckyness...
  7. Bakeza

    Banyamrenge, walowezi wa kitutsi nchini Congo DR ambao wanadai ardhi ili waanzishe taifa lao

    Mkuu asante sana inafurahisha na kusisimua ukiisoma
  8. Bakeza

    Kwani hili Basi linaenda wapi?

    Tangazo zuri sana mkuu
  9. Bakeza

    Msaada wa haraka kujua dhahabu feki na halisi

    Njia ya rahisi zaidi ni kutafuta Acid jitahidi isiwe diluted. Unaidumbukiza hiyo pete. Kama ni dhahabu itabaki kama ilivyo maana sifa ya dhahabu haihathiliwi na acid. Na kama sio dhahabu itasambaratika/kuyeyuka. Imeisha hiyo
  10. Bakeza

    Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Duuuh Askofu Rashid unajichanganya sana
  11. Bakeza

    Nimejitahidi lakini nimeshindwa kumsamehe mke wangu mtarajiwa kwa hili

    Mkuu achana na huyo mwanamke utaishi kwa amani sana
  12. Bakeza

    Wewe uliyekatishwa tamaa uliambiwa hufai mbaya jifunze hapa....liko kusudi la kuumbwa hivyo ulivyo.

    Mi mwenyewe nimejiuliza huyu anamaanisha nn au mi ndo sielewi nn[emoji1]
  13. Bakeza

    Rais wa TLS, Dkt. Nshala aitaka Serikali kukamilisha uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu

    Kwahiyo unatuaminisha kuwa CCM walihusika kwa shambulizi la Lissu pasi na shaka yoyote? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Bakeza

    Kuongezeka kwa suala la ushoga vyuo vikuu Tanzania

    We naona utakuwa ni mwenzao si bure Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Bakeza

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Umeongea ukweli hili tukio limekuzwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Bakeza

    CCM inajuhumiwa pakubwa! Swali je ninani anafanya hivi? Kwa maslahi gani?

    Umenichekesha kweli eti hawajui kutofautisha kati ya herufi kubwa na ndogo. Ina maana Sypirian Musiba hajui kutofautisha herufi kubwa na ndogo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Bakeza

    Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

    Sasa mkuu kwani ukiandika vizuri, maelezo yanayoeleweka unapata hasara gani. Ebu rudia kusoma tena we mwenyewe uone kama utaelewa ulichoandika? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Bakeza

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Mtu unasema unamalizia Phd yako alafu unaomba ushauri ufanye nn kufatilia matokeo yako ya kidato cha nne!? Nina mashaka na hiyo Phd na kwa jinsi ulivyoandika tu hata mtu wa kidato cha nne anakuzidi. Nakushauri karudie kidato cha tatu umalizie masomo yako kwa cheti sahihi na sio huo upuuzi...
Back
Top Bottom