Search results

  1. E

    Tatizo la maji Moshi ni Aibu na Fedheha

    Wanajamvi, kumekuwa na tatizo kubwa sana sugu ya maji kwa takriban mwaka mmoja sasa katika Manispaa ya Moshi na hasa zaidi katika viunga vya Manispaa hiyo kama vile Kariwa, Rau, Njiapanda, KCMC na maeneo mengi yanayozunguka Manispaa hiyo. Tarizo hili sasa limekuwa sugu na dondandugu lisiloisha...
  2. E

    Maandamano ya CCM Moshi Mjini

    Kuna Maandamano fake yanafanywa na CCM hapa Moshi mjini leo kuelekea kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makalla. Maandamano hayo yaliratibiwa na Davis Mosha mgombea ubunge wa chama hicho pamoja na wafuasi wake huku wakilalamika kwamba wanaonewa na kufanyiwa vurugu na chadema. Hali hii imewastua...
  3. E

    Lowassa ndani ya Moshi leo

    Ndugu wanabodi, leo hapa Moshi mjini kuna ujio wa Edward Ngoyai Lowassa kwa ajili ya kampeni akifuatana na kada maarufu na gwiji la CCM aliyechepuka hivi karibuni ndani ya CCM na kuunga mkono mabadiliko. Mkutano huo wa Lowassa utafanyika katika UWANJA WA MASHUJA hapa Moshi mjini kuanzia saa...
  4. E

    Karibuni UKAWA, Karibuni JANGWANI kesho:

    Tunawatangazia wanachama wote wa UKAWA na wapenda Mabadiliko wote kujitokeza kesho Tar 29 katika VIWANJA VYA JANGWANI kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni zetu. Nyote mnakaribishwa kujitokeza kwa wingi sana. SAA YA UKOMBOZI NI SASA. Pia kwa wale wa mikoani tunawakumbusha wajiandae kutufuatilia...
  5. E

    Mdahalo wa Katiba leo Jumamosi

    Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia MDAHALO WA KATIBA leo JUMAMOSI tarehe 2 itakayorushwa moja kwa moja na ITV kuanzia saa 8 kamili hadi saa 11 kamili jioni. Watoa MADA watakuwa ni JENERALI ULIMWENGU na Prof LUMUMBA. Karibuni wadau wote bila kukosa.
  6. E

    Live Updates: Mdahalo juu ya Mivutano ya makundi katika mchakato wa Katiba Mpya

    Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia MDAHALO WA KATIBA LEO JUMAMOSI tar 3 itakayorushwa moja kwa moja ITV kuanzia leo saa 8 kamili mchana hadi saa 11 kamili jioni. Watoa MADA watakuwa ni JENERALI ULIMWENGU na Prof LUMUMBA. Karibuni wadau wote bila kukosa.. =================== unaweza kutuma maoni...
  7. E

    Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Ndugu wanabodi, Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole. Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo. Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo...
  8. E

    CCM waamua kuthibiti mchakato wa katiba

    Ndugu wanajamvi, taarifa ambayo sasa ipo wazi ni kwamba CCM wameamua kutumia UDIKTETA katika mchakato wa katiba utakaoanza tarehe 5 August. Wameamua kubadilisha kanuni ili waendelee na mchakato wa utungaji wa katiba bila ya UKAWA. Pia wameamua kutoruhusu mikutano ama mikusanyiko yeyote...
  9. E

    Wapo wapi Dr Walid Kabour, Tambwe Hiza, Thamas Ngawaiya, Juliana Shonza...

    Ndugu wanabodi, wapo wapi akina Dr Walid Kabour, Tambwe Hiza, Thomas Ngawaiya, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba na wasaliti wengine wengi waliotimkia CCM? Naomba wengine jaribuni kuwataja humu ambao sijawataja. Historia inaonesha kuwa wote waliorudi CCM huwa wanafilisika zaidi kisiasa, na...
  10. E

    Wasanii wetu na 'Uzalendo wa maslahi'

    Kuanzia saa 11 mpaka muda kule Dodoma kuna kusanyiko la wasanii waliojifika kwa jina la UZALENDO. Vijana hao na wengine ukiwaangalia kwa umakini unawaona kabisa wameenda pale kwa maslahi ya matumbo yao. Sura zao na matendo yao hauakisi kabisa Uzalendo huu wanaousema. Ni vijana waliandaliwa kwa...
  11. E

    Magazeti ya Uhuru, Jambo leo, na Mzalendo

    Ndugu zangu wadau, embu naombeni mnieleweshe pamoja na watanzania wengine wasioelewa, je magazeti haya ya UHURU, JAMBO LEO na MZALENDO wanawawakilisha akina nani hapa Tanzania? Naombeni msaada wenu ninashindwa kuyaelewa magazeti haya, je kweli waandishi wa magazeti haya ni watanzania halisi...
  12. E

    Poverty:

    "Poverty is not an accedent, like slavery and apartheid it is a man-made and can be removed by the actions of human beings" (N.Mandela-Madiba)
Back
Top Bottom