Search results

  1. E

    Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Patrobas Katambi ndio nani?? Huko BAVICHA ndio tunamjua Ole sosopi ndio kiongozi,,, huyo Katambi wengi hatumfahamu.
  2. E

    CHADEMA yameguka; wanachama 50 wahamia CCM Geita

    Haya ni mijitu yasiyojielewa,,,,
  3. E

    Dk. Slaa aajiriwa supermarket

    Kazi ni kazi tu. Hiyo nayo ni udhubutu.
  4. E

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Think before you quit your job.
  5. E

    Maajabu ya mjadala ITV, watu wote wana mawazo sawa

    Itv si kituo cha hoja tena.
  6. E

    Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

    Akina Bashuru Ali hawa wa sasa hivi si wale tuliowajua enzi hizo,, akina Bashiru wa leo ni wale wanaosubiri uteuzi. Ni watu wa kujikomba kwa serikali hata kama imeenda kushoto. Wahadhiri wengi siku hizi wamekuwa ni wasakatonge kupindukia,, usomi wao wameuweka pembeni na kugeukia maslahi...
  7. E

    CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

    Karibu sana Lazaro Nyalandu: Wewe ni mbunge unayejielewa.
  8. E

    Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    CCM tangu mwanzo wana roho mbaya. Hakuna aliyeingia au yupo ndani ya CCM akawa salama.
  9. E

    Joshua Nassari: Onyo wa RC & DC Acheni Kutisha wagombea wetu Vitisho Mlivyowapa Mkiwa na Makonda Havijafanya Kazi

    Wakurugenzi wote wameambiwa ole wake atakayemtangaza mpinzani kashinda kwenye eneo lake. Hili nalo ni udikteta.
  10. E

    Juliana Shonza: Hizi siyo zama za kuijaribu Serikali

    Shonza wewe hujui unachoongea,,,,umepotea njia,,,
  11. E

    Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari zinazo daiwa ni za Uongo (Oct 2017)

    Wasifikiri tutanunua gazeti la Uhuru na habari leo. Poleni enyi wapiga filimbi wa serikali. Mtanyamazisha wangapi???
  12. E

    Prof Lipumba: Nimestaajabishwa na uteuzi wa Profesa Luoga

    Yeye Lipumba kama mchumi amesaidia nini?? Asituletee uchumi wake wa kuchumia tumbo.
  13. E

    Uteuzi wa Gavana: Zitto Kabwe aponda

    Tanzania ni nchi ambayo kila mtu anaweza akautawala,,,watu wake ni waoga na wapole.
  14. E

    Zitto: Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni la benki ya CreditSuisse ambalo Serikali ilikopa kununua ndege

    Naona mijitu ya Lumumba imejikita huku kuandika utumbo. Peleni sana,,akili ya kuanzimwa ni kazi sana,
Back
Top Bottom