Search results

  1. G

    Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

    Majira ya saa 11.45 jioni ya leo, mfanyakazi mmoja wa TRA amewasilisha barua katika ofisi ya mapokezi ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), lililoko barabara ya Sam Nujoma, Dar-Es-Salaam. Ingawa mtu aliyekuwa mapokezi hakuwa tayari kuzungumzia barua hiyo, kwa kuwa yeye siyo Msemaji...
  2. G

    Askofu Kakobe kesho atatoa mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusu utajiri wake

    Kesho Jumapili 14.1.2018, Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe, atatoa mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusu utajiri wake. Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika, zinaeleza kwamba, Askofu Kakobe atatoa mrejesho huo wakati wa Ibada Kuu itakayoanza saa 4 asubuhi...
  3. G

    Mzee wa Upako awatimua waandishi

    Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu 'Mzee wa Upako', jana aliwagomea waandishi wa habari kusikiliza hotuba yake ya Ibada ya Krismasi, na kutuma wasaidizi wake wawaondoe waandishi hao. "Samahani tunaomba muondoke kwani Mchungaji amesema...
  4. G

    Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Juzi, Alhamisi 1.12.2016, Jaji Mwandambo wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar-Es-Salaam; alifuta kesi ya madai Na.79 ya mwaka 2011 dhidi ya Askofu Mkuu Zachary Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), kwa kuona kwamba haina mashiko. Wadai katika kesi hiyo walikuwa watatu...
  5. G

    Pinda na Membe: Mgombea anaposema jina lake haliwezi kukatwa, huo siyo uungwana

    Kwa nyakati tofauti, baada ya kurudisha fomu zao jana, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, pamoja na mambo mengine, wamezungumzia juu ya kukatwa kwa majina. Bw. Membe aliwataka wagombea wenzake wa nafasi ya Urais ndani ya CCM, kukubali...
  6. G

    Lowassa: Urafiki wangu na Kikwete utaendelea mpaka kifo kitakapotutenganisha

    Akizungumza jana Bagamoyo alipokwenda kutafuta wadhamini, Lowassa alisema,"Bagamoyo ni nyumbani kwangu kwa pili, kwa sababu ni nyumbani kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ni rafiki yangu. Nataka niwaambie kuwa mimi na Jakaya ni marafiki wakubwa, na urafiki wetu utaendelea hadi Mwenyezi Mungu...
  7. G

    Makonda: Sipo tayari kufanya kazi kwenye Serikali itakayoongozwa na Rais fisadi

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amesema hayupo tayari kufanya kazi kwenye Serikali itakayoongozwa na Rais fisadi, kwa madai kwamba itamkosesha hata haki yake ya kwenda peponi. Akizungumza jana na wanachama wa Chama cha Madereva Tanzania (TTDA), Makonda aliendelea kusema,"Tukiwa na Rais...
  8. G

    Kwanini wezi 20 tu watufanye wote CCM tuonekane kuwa ni wezi? Imetosha - Makongoro Nyerere

    Akizungumza Kigoma 6.6.2015 na wanachama wa CCM waliojitokeza kumdhamini, Charles Makongoro Nyerere amesema, "CCM tuko wanachama milioni sita. Iweje wezi 20 tu watufanye sisi sote tuonekane kuwa ni wezi? Imetosha." Source: TBC
  9. G

    Lowassa kujibu maswali magumu Jumatatu 25.5.2015

    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Jumatatu 25.5.15 atafanya mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Kwa mujibu wa taarifa ya Jukwaa la Wahariri iliyonukuu maelezo ya waandaaji wa mkutano huo, shughuli hiyo itafanyika nyumbani kwake Dodoma saa 3:00 asubuhi. Miongoni mwa maswala...
  10. G

    Kakobe amshukia Lowassa, azungumza kuhusu Kura ya Maoni

    Akihubiri siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo Mwenge, katika Jiji la Dar-Es-Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe alisema kwamba, inajulikana wazi kwamba Lowassa amekuwa anautaka Urais kwa udi na uvumba kwa miaka mingi, hata mwaka 1995 alijitosa hadharani kuuwania...
  11. G

    "Wachungaji" waliokwenda kwa Lowassa ni wafuasi wa Askofu Gwajima

    Jumatatu wiki hii, Lowassa alitembelewa na watu wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa makanisa ya Pentekoste hapa nchini; hata hivyo taarifa nyingine zinadai kuwa "Wachungaji" hao ni wafuasi wa Askofu Josephat Gwajima ambaye anatajwa kuwa ni mfuasi wa Lowassa. Mheshimiwa Lowassa alishiriki kuzindua...
  12. G

    Askofu Gwajima amtetea Lowassa

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, kwa mara ya kwanza amejitosa kwenye harakati za Urais kwa kutoa kauli za ukosoaji zinazowalenga baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoutaka Urais. Katika mazungumzo yake na RAI, Gwajima alisema kauli zilizotolewa hivi karibuni...
  13. G

    Sitta na BMK wamethibitisha ukweli wa madai ya wizi wa kura!

    Kwa miaka mingi sasa, baadhi ya wagombea wa vyama vya Upinzani, wamekuwa wakidai kuibiwa kura na Chama Tawala. Madai haya yalitolewa kwa mfano katika chaguzi za Wabunge huko Igunga, Kalenga, Kigoma, Sumbawanga, na sehemu nyingi nyingine Bara na Visiwani; na vilevile Uchaguzi wa Rais wa JMT 1995...
Back
Top Bottom