Search results

  1. S

    Kumaliza chuo sio ndo umepata maisha

    Umetoa ushauri mzuri ndugu.
  2. S

    Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

    Kwa msomi na mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani kama anaweza kufanya jambo la kijinga kama hili
  3. S

    Suali kuhusu zile kazi za EAC zilizotangazwa hapa

    Huo ndo uhalisia. Ukiandika jina la muhusika inakuwa private. Assume umeandika jina ka muhusika na muhusika hayupo nafasi imekaimiwa; ina maana barua hiyo haitashughulikiwa mpaka arudi muhusika. Pia ikitokea uliyemwandika jina kapata uhamisho ghafla hiyo barua itashughulikiwa na nani...
  4. S

    Actionaid tanzania jobs feb 2012

    Thanks kwa taarifa ngoja tujaribu kuapply.
  5. S

    Application ya certificate of nusing

    thanks kwa unachokifahamu.
  6. S

    Application ya certificate of nusing

    Ni vema wakifanya hivyo ili watu wanapoapply wawe na uhakika na sio kubahatisha.
  7. S

    Application ya certificate of nusing

    Nashukuru ndugu yangu kwa maelezo ya kina na ya kutia moyo. Lord be with yuo. Thanks.
  8. S

    Application ya certificate of nusing

    nashukuru ndugu yangu.
  9. S

    Application ya certificate of nusing

    Ndugu wanajamii forum naomba kujuzwa kama application mafunzo (CERTIFICATE OF NURSING AND MIDWIFE) Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii zimeshaanza kwan niliambiwa zinaanza mwez Januari lakini mpaka sasa hakuna tangazo lolote kwenye website yao wala magazeti. Msaada wenu plz.
  10. S

    Interview tips

    Tunashukuru kwa kutuongezea maarifa
  11. S

    Msaaada wa mawazo ndungu zangu.

    We nenda na hiyo CV ila wakikwambia uwape pesa hata 100 kataa. Lazaid kawaulize maswali utajua km ni matapeli au siyo. BY DA WAY WAKIKUAMBIA MKAKUTANE VICHOCHORONI KATAA. ALL THE BEST.
  12. S

    Angalia Jina lako hapa kama uliomba Job UDOM

    tunashukuru kaka kwa juhudi zako mungu akubariki
  13. S

    Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    KWELI HAWA JAMAA NI HOPLESS HASA Cjui elimu ya kuendeshea chuo walipata wapi. Hawana uhakika na mambo yao wanabahatisha. Hii ndo UDOM.
  14. S

    Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    USIJALI kaka SYSTEM/NETWORK ADMINISTRATORS mpo kundi C Mtafanya hiyo mitihan tar 16 JUMAPILI saa 8:00 ASUBUHI, College ya Social Sciences & Humanities. All the best kaka.
  15. S

    Kijana kawa fired

    Kwa kweli ki2 hiki kinaumiza sana, wakati wengine 2kiwa busy na utafutaji wa kaz, wengine wanatengeza mazingira ya wa2 kukosa kaz. Infact kijana huyo anaweza kuwatia nuksi wenzake waliosoma pamoja chuo, maana muda mwingine waajiri hutumia experience, hivyo anaweza kuwa na NEGATV ATTITUDE na...
  16. S

    Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

    Dogo inaonekana hajafahamu maisha yanaendaje. Sh 7500 kwa cku amekuta ni mamilion ambayo haoni pa kuweka. By da way wapo wanaopewa hiyo na hata cku chuo kinapofunga WANAKOPA NAULI. Ucwe limbukeni wa pesa, ITUNZE ILI NAYO IKU2NZE.
  17. S

    Kulikoni UDOM?

    TUNASHUKURU KWA KUWA NA MOYO WA UPENDO KWA SISI WATANZANIA WENZAKO. Mungu akubariki. All da best.
  18. S

    Kulikoni UDOM?

    Hiyo taarifa nani kakupa. Kama angekupa na source ingekuwa rahis kubain ukweli huo. Binafsi niliapply na siamin km wangefanya hivyo bila kupublish hata kwenye website yao.
  19. S

    Internship search

    Jitahidi kutafuta kwenye sehemu ambazo zitakuwa karibu nawe. Kwani unaweza ukapata mbali pasipo na ndugu ukashindwa kutokana na gharama za maisha. All da best kaka.
  20. S

    Bachelor of Rural Development

    Kozi nzuri sana. Kapige kaka ucjali na uckatishwe tamaa. Kwa sisi 2nao tafuta kaz sasa hv 2nakutana na post nyingi za koz hiyo. By the way SUA ni chuo kizuri na chenye jina TZ na msuli wake ni wa uhakika, hawababaish. Kapige ktabu dogo.
Back
Top Bottom