Tenah mwambie huyo jamaa mwenye namba uliyo iweka kwenye hilo tangazo lako anirudishie hela yangu, maana aliahidi trh 10 na imeshapita, la sivyo ataiona jf chungu, bcoz details zote kuhusu yeye ni nazo, zikiwemo na picha zake, yan ni suala la muda tuh inshaALLAH!!!
Duh jaman mbona huyu tapel amefuta Uzi wakeeee
Alafu muache uboya msilete nyuzi zenu za kuhusu tenah hizi mambo tumeshawajua mnataka kula vya bure vya wanaume wenzenu, pambaneni na hali zenu!!!
Hao majamaa ni matapeli wanafata watu hadi kwenye pm ili wawateke, hyo pc alinitumia mmoja wao, mwanzon alituma bila namba, nkamwambia mbona hamna namba yako ndio akatuma na namba yake, lakin mim namjua bcoz ameshawahi kunitapeli kwenye mambo yake hayo hayo ya kujifanaya anajua kitu fulan wakat...
Hebu toeni utapeli wenu hapa, au unataka niwataje majna yenu hapa,,, hiyo namba uliyo iandika sio yako ni ya mtu ambae yupo humu humu, cha ajabu na yeye anakuja kukoment kama vile ameshatumia mtandao huu kumbe ni tapel, dawa yenu inachemka!!!
Mimi kuna mtu alinisaidia bt kwasasa si mwamin kwa kile anachofanya kwasababu ni tapeli, sina njia ingne hro, jiarbu kufuata ushar wa huyo mtu wa juu hapo!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.