JB19 akirejea katika hali ya kuziona nyavu, wakati walinzi wa timu pinzani wakimtupia jicho KP10, huku kukiwa na super sub KF7. Unazani CHAMA LANGU LA CHAMANZI LITA DROP POINT,
Leo ni azam vs african lyon
kikosi ni kilekile: Mwadini, Nyoni, Nuhu, Morad, Morise, Mao, Jabir, Mwaipopo, Babi, Bocco na K.Tchetche
link za livescore: Azam Fans Club: Livescore & Ratiba ama SPORTS IN BONGO: Dakika 90
Kamati imeipa Azam ushindi wa mabao 3-0 kwa mujibu wa Ibara ya 31 ya Kanuni za Nidhamu za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Azam Fans Club: TFF yaipa ushindi Azam dhidi ya Mtibwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.