Search results

  1. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Pesa hazirudi na baadhi ya watuhumiwa wanataka kurudisha kazi Tunakuomba Nape upitie hapa UK ili tumalize huli gogoro
  2. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    so far mijengo ishapigwa Jamvi huko Kigamboni...sie tupo tuu tunatazama tuuu
  3. C

    Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wafuturisha

    UK kuna jumuia za wa Tanzania zaidi ya 20 kwa nini TZUK peke yao wapewe facility za mikutano Ubalozini? hilo hamjalalamika UK kila mwaka wanaiombea nchi kanisa la WEST MINISTER lakini hamlalamiki kwa nini nchi haiombewi kwenye halll MBONA mkapa alifuturisha na Obama pia anafanya hivyo na...
  4. C

    Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wafuturisha

    Tatizo sio kufturisha tuu Ubalozi unapiga dili na wakenya pamoja na wahindi kusupply chakula...cha kiTanzania chakula ambacho wangeweza kuwapatia waTanzania wenye mahoteli London, Reading au Leicester Hivi mnaweza kuskia wa NIGERIA au KENYA wanawapa wa ZIMBABWE au WATANZANIA au WAHINDI tenda...
  5. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    updates mnashangaa milioni 300 zimetumwa vipi huku mbona hamjauliza TT zipi zilitumika kufanya hivyo? lakini watu wameenda Tanzania lakini hawajaleta taarifa zozote za uchunguzi. Lakini imekuwa kama vile kesi ya nyani kapewa tumbili watu wameamua kuchukua mortgage huko Birmingham sasa hivi
  6. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    so far hakuna kinachoendelea washatumwa wajumbe 3 kwenda Tanzania na susan naye kafiwa na baba yake juzi
  7. C

    Harusi ya mtoto wa Salim

    hivi kuna mtu ana formula ya kuoa mabinti wa Pemba
  8. C

    Ludewa kumekucha; wamkataa diwani wa CCM

    if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu
  9. C

    Harusi ya mtoto wa Salim

    ndoa ishajibu au watu wako bize kuandika ma pepa na kulipa mogeji?
  10. C

    Miezi 6 tu,pesa za ubunge zilivyomuharibu mbunge huyu kijana na kuwa kero jimboni kwake

    mpaka CHADEMA wanamtetea Mbunge wa CCM ujue kuna jambo!
  11. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Si kweli kwanza mimi ni mmoja kati ya CCM UK lakini ujue mpaka nakuja jamvini humu ujue kuwa nimechoka na nawakilisha maoni ya wengi kwani sasa hatujui pa kuelekea CCM Tanzania wanasema wanafanya uchunguzi CCM UK mwenyekiti na katibu (Susan) walitoa majibu kuwa tuwape siku 3 wataleta taarifa...
  12. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    habari ndio hiyo....
  13. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    As it stands Mwenyekiti alisema angetuletea ripoti baada ya siku 3 tumekutana ishapita wiki 3 hakuna ripoti wala nini kamati iliyoundwa kumchunguza haina nguvu kwani nao inasemekana ndio waliogawana pesa sasa hivi balozi kasema angeingilia lakini tatizo kuna ziara ya wabunge as it stands...
  14. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    utashnagaaa ya CCM UK
  15. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    sasa tunatumiana sms kutaka kujua nani ka likisha hii habari kwenye intaneti kama kawaida yetu tunatafutana uchawi
  16. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    kwa kuongezea tuu ni kuwa imeundwa kamati ya kufuatilia na kujua pesa zimepotelea wapi so far tunaambiwa kuwa kati ya milioni 300 na zaidi zishaliwa zaidi ya 150 na zingine zinaendelea kuliwa Pesa imetoka Tanzania kwa dola lakini ikija huku inaingia kama paundi...mind you kumbe pesa zilitumwa...
  17. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Kuna mwingereza atakupa pesa za bure? 250,000.00 USD = 154,016.57 GBP US Dollar British Pound 1 USD = 0.616066 GBP 1 GBP = 1.62320 USD 250,000.00 USD = 399,624,000.00 TZS US Dollar Tanzanian Shilling 1 USD = 1,598.50 TZS 1 TZS = 0.000625588 USD
  18. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    source ya nini?
  19. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Inaashiria mambo kadhaa kama vile -Uongozi wetu hapa hauna maslahi kwa chama wana wanachama -Sisi tunafanya mambo kwa pupa mno bila ya kuwa na mipango -Kweli tulikuwa na mipango mingi lakini hii inaashiria kuwa hatuko makini kwenye mipango na si wakweli -Tumekuwa wabinafsi na mambo kama...
  20. C

    Dola 250,000 zaibwa CCM UK?

    Pesa zimetumwa lakini wajanja wamezila. sasa hivi kuna makundi ma 3 ndani ya jumuiya yetu huku UK na kadri inavyofanywa siri ndivyo wengine wanazidi kuwa na hasira na uongozi wenyewe wanajijua na watakuja humu kutukana na kukana lakini kamati zishaundwa na si CCM tuu bali hata kwenye jumuia...
Back
Top Bottom