Search results

  1. chavka

    Nashindwa fanya maamuzi kati ya wanawake hawa wawili

    Habari wana jamiii. Naombeni ushauri kwa hili jambo linalonitatiza. Nilidumu kwa muda wa miaka 9 katika ndoa yangu kabla ya kuamua kumuacha Mke wangu japo katika miaka hiyo nimeishi maisha ya aina zote yaani ya raha na ya karaha. Siku zote nakiri na nasema mimi huenda sikuwa mume bora kwa...
  2. chavka

    Kwa wanaume hii imenishtua sijui Wadau mnasemaje

    Kuna redio moja nikiwa kwenye gari nimesikia wanasema kwa mwanaume kama hutoi majimaji kwa wingi kabla ya tendo la 6*6 inasababisha kuchelewa kutoa manii na tatizo likizidi inakuwa tabu kutoka manii. Na visababisho wanadai kuwa na wapenzi wengi,pombe na uvaaji wa over'roli kwa mafundi viwandani...
  3. chavka

    Kipi sahihi katika uwanja wa ajira na ukuwaji wa uchumi

    Natumai Mko poa wanajamii. Ila nina leta changamoto moja ivi anaeweza kuelezea umeme na anaeweza kufanya kazi za umeme au mashine yoyote na kuzielezea, yupi anastahiki malipo makubwa? Nauliza haya kulingana na mifumo ya vyuo vyetu ukimchukua mtu wa Univar's, Institu, Vocation. Wanauwezo tofauti?
  4. chavka

    kutotoka majimaji ya awali ni tatizo gani

    Natumai wote muwazima kwangu salama kabisa ila kuna jambo nimepata na nimeona kunahaja ya kubadilishana mawazo na kusaidia vijana wenzetu. Tatizo nikwamba mtu anaweza kuwa anafanya mapenzi vizuri tena kwa kumtosheleza mwenza lakini ule uteute wa awali kwake ni nadra au hutoka kwa uchache sana je...
  5. chavka

    Ndio mwisho au naomba ushauri

    Nimamkini muwazima wanajamii. Kwangu salama kiafya. Naombeni ushauri juu ya hili Nina miaka 3 ktk ndoa yangu lkn toka nilipoacha kazi na kujiunga na chuo maisha ya ndoa yamekuwa magumu tena ukuchangia ninaishi na mama mzazi pamoja na mdogo wangu wa kiume kipato anasoma darasa la 6 mwakani 7 na...
  6. chavka

    Ujanja wote lakini simuelewi nisaidieni

    Natumai muwazima wanajamii. Ila kuna kitui kimoja nipo nacho chuo sikielewi kihivi. Nikiwa mbali nacho kinanitafuta kwenye cm na kina tuma sms nyingi sana pia twaweza kujadili mambo mengi hata yakimapenzi but tukionana ananikwepa kuzungumza kihalisia. Mm ni raisi wachuo yy katibu mkuu. Lkn...
  7. chavka

    Nimekubali co kila kitu ku2mia dawa ni kusema2 inakuwa

    Hv majuzi niliweka tatizo langu jamvini juu ya kupoteza mud ktk tendo la ndoa. Nawashukuru wanajamii ushauri wenu wa umenisaidia na sasa nimeanza kufurah unyumba wangu na kujiona narudi uwanjani kama zamani 3 za afya na bado nakuwa niko fit kuendelea ila kwakuwa wife sizidish kipimo. shukranini...
  8. chavka

    Itakuwa ndio mwanzo wa tatizo au mpito

    Ashakum si matusi Wahenga walisema mficha uchi hazai hili ndio naliepuka mm. ivi karibun nimejiona ninakasoro ktk majambozi ye2 ya ndani nikipiga moja2 sipand tena na hata nikijilazimisha itapanda itashuka. ila kipindi cha nyuma sikuwa hivyo nilikuwa nauwezo wa kuunga nisha moja kwa mbili then...
  9. chavka

    Hivi ndo wanadada wakiwa kwenye ndoa au

    Habari za zenu wakuu nimamkini mpopoa. Wahenga walisema sikio halina mpaka. cku ya leo nimepata kusikia malumbano ya wawili ambao nawafahamu kiasi ila walikuwa wanalumbana kuhusu mambo ya kudu jamaa analalamika kuwa anapo ombwa anapanga mpangilio wa kazi mara ngojea nikapike kwanza mara nikaoshe...
Back
Top Bottom