Search results

  1. D

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesoma kwa umakini "Taarifa" ya kukamatwa na kupelekwa Kituoni Katibu Mkuu wa Chadema na Viongozi wengine wa ngazi ya Mkoa na Kanda, kule Mbamba Bay, wakiwemo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tz. Mara kadhaa viongozi wa vyama mbali mbali pia wamekamatwa...
  2. D

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Yericko, Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu...
  3. D

    Majibu ya Dr. Slaa kwa maswali ya watanzania, Julai 2011

    Zumbemkuu, Wana JF awali nawasalimu. Ni muda kidogo sijapost kwenye jamvi japo nimekuwa nikichungulia ama kama member ama kama guest. Nimeona ombi na nimeielewa. Pamoja na kuwa sina tatizo kutoa mchango wangu kama mkereketwa wa maendeleo ya Taifa letu, na kuchukizwa sana giza totoro...
  4. D

    Elections 2010 Ninaomba kura zenu ili niwe Rais wenu

    Ndugu wana JamiiForums, Mtandao wa IssaMichuzi, wana FaceBook na mitandao mingine na Watanzania wenzangu wote kwa ujumla mtakaosoma ujumbe huu, Salaam toka Mbeya Vijijini, ndio tumeanza mikutano midogo ya kufunga kazi asubuhi hii na tutahitimisha baadaye. Ninashukuru sana kwa maneno ya heri...
  5. D

    Elections 2010 Kanuni za Uchaguzi 2010 na mgogoro wa Sheria ya Gharama

    Wanajamii Forums, Natumaini hamjambo. Nilikuwa napitia Kanuni za ku operationalize Sheria ya Gharama za Uchaguzi, ( Elections Expenses Act, 2010), No. 4 of 2010 REGULATIONS, (made under section 31 ).ambazo kwa bahati mbaya sinayo Electronically. Iwapo kuna mtu anazo nitaomba aziweke hapa. Hata...
Back
Top Bottom