Search results

  1. D

    Naombeni ufafanuzi wa fedha ya ruzuku mashuleni maana kuna kutofautiana juu ya waraka huu, nahitaji

    MATUMIZI YA RUZUKU YA UENDESHAJI(CAPITATION GRANTS) Serikali itaendelea kutuma 50% ya ruzuku mashuleni kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia. Utaratibu huu wa kupeleka sehemu ya fedha ya ruzuku ya uendeshaji moja kwa moja kutoka hazina kwenda shuleni unalenga kuondoa...
  2. D

    Naomba msaada mchanganuo wa ruzuku mashuleni (captation grant)

    Naomba msaada juu ya matumizi ya ruzuku(captation grants) 50% kutumika katika ununuzi wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia, maana mkuu wa shule yetu anadai 50% ya ruzuku bado serikali haijatuma na hatujui ni lini pesa hiyo itatumwa. Je shuleni kwenu mnafanyaje maana tunaogopa matumizi mabaya...
  3. D

    Mwongozo juu ya matumizi ya ruzuku mashuleni(sekondary)

    Naomba msaada juu ya matumizi ya pesa ya ruzuku mashuleni, tunabishana juu ya ununuzi wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari, je hizi 50% za vitabu zimetumwa au tusubiri? Naomba msaada wenu
  4. D

    Mkwawa, elimu bora bado ni tatizo.

    Matatizo mbalimbali yanachokikumba chuo kikuu kishiriki, MKWAWA(MUCE), JAMANI HAYA MATATIZO YATAISHA LINI? Ndugu wanajamii forum, tatizo la elimu bora kwa kila mtanzania ni Tatizo, kumbe hata vyuoni elimu bora haitolewi, hii ni kukosa sehemu za mihadhara kwa ajili ya wanachuo kusomea au...
Back
Top Bottom