Search results

  1. A

    Tanesco; Hivi kuna mgao wa umeme kimya kimya?

    Kwani Mwanza kuna uchaguzi? wee ndo chizi kweli. Hata huelewi ana maana gani!
  2. A

    Namkubali sana mama Anna Kilango Malecela

    huyu mama ni mnafiki tu, hafai kabisa.
  3. A

    Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

    MUNGU ibariki chadema kule Igunga
  4. A

    Kuanguka kwa Dr Slaa

    hizi dhiki zimesababishwa na mizigo ya ccm. wewe ni miongoni mafisadi ambao hawajui dhiki hizi zinasababishwa na nani. kifikra hujakomboka
  5. A

    Tundu Lissu, Mtema ndani ya UDOM

    Hujui unachokisema wewe mvivu wa kufikiri kaa kimya. kwanza nyie magamba hamtaki katiba mpya. Nguvu ya umma ndo inawalazimisha tu.
  6. A

    CHADEMA kidedea kijiji cha Kabiga Geita

    huo ni mwanzo mzuri wa mabadiliko. tufanye kweli ktk uchaguzi wa serikal za mitaa 2014 ili kuweka njia nyeupe kwa uchaguzi mkuu 2015. hongereni sana wanakabiga.
  7. A

    J.K Nyerere na siasa za maji taka

    kwani nini maana ya historia?
  8. A

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    ccm wote ndo wameleta matatzo yote hayo. Hatuwataki. Awe rais wa kaya yako tu
  9. A

    Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia CCM

    Tatizo lako una mimba/ujauzito wa kufikiri
  10. A

    Hotuba ya upinzani kuhusu mpango wa taifa wa maendeleo wa miaka 5

    Hawa wanamagamba wanaandaa mpango mbovu wa maendeleo ili wapate cha kufisadi kama kawaida yao. hili liko wazi. chadema wabaneni mpaka kieleweke. ccm walishapeleka akili zao li kizo.
  11. A

    Kenya yaongoza ubora wa vyuo vikuu afrika mashariki

    Ukitaka kuinua uchumi wa nchi invest kiasi kikubwa kwenye elimu kwanza. Sasa hapa Tz mambo ni tofauti kabisa, ndo maana tunapata skills kidogo sana.
  12. A

    Naomben ushauri

    Aombe diploma ya elimu. Baadaye akipata kaz ataomba degree kwa kutumia matokeo ya diploma
  13. A

    Naomben ushauri

    Aombe diploma ya elimu. Baadaye akipata kaz ataomba degree kwa kutumia matokeo ya diploma
Back
Top Bottom