Search results

  1. R

    Dr. Slaa kutogombea Igunga

    hata urais pia hakuwa tayari lakini alishawishiwa kwa nguvu ya hoja akakubali,inaweza kujirudia tena
  2. R

    Wana Tabora kumlilia Rostam na siyo Selelii! Wana nini?

    mkuu ulitaka wamlilie selelii kwa ajili ya kupigana vita ya kinafiki iliyoitwa vita dhidi ya ufisadi kumbe ilikuwa ni kwa ajili ya maslahi binafsi?
  3. R

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    watambakiza nani wakifanya hivyo?maana kwa mtazamo wangu mimi wakisema wawatoe mafisadi wote itabidi uchaguzi mkuu uitishwe mwaka huu, wako tayari kwa hilo?
  4. R

    Unamfahamu miss tz huyu?

    HII NIMEIKUTA KWENYE www.jeedygirl.blogspot.com Wednesday, October 20, 2010 FULL SCANDEL YA MISS TANZANIA Leo nataka nikujulishe kitu ambacho hukifahamu kuhusu Miss Tanzania wa mwaka ...... kuponi. ni miss maharufu kabisa na anajulikana kabisaaaa. ni miss ambaye...
  5. R

    Wema Sepetu ataka kugombea ubunge

    acheni kumrudisha nyuma kwa kumpiiiiiiiinga hivyo,mbona tofauti yake na wengine waliopo kule ndani ni ndogo tu?
  6. R

    Nampenda Martha Mwaipaja

    kwa maana nyingine imetafuna kwake siooooooo??????????????
  7. R

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    hivi yale masaa 48 ya maaskofu walompa jk si yameisha?wamechukua hatua gani wao?
Back
Top Bottom