Hapana lipo nyuma ya Kiwanda cha chumvi kwenye ule ukuta mrefu nyuma yake pazuri pana maendeleo na ile barabara ninatetesi itawekwa Lami mpaka mapinga Bagamoyo.
7 acres land surveyed for Sale at KIBAHA MAILIMOJA. The farm located at Machinjioni Apaikunda Hotel.
Price Tshs 150,000,000.
Call 0754383174
email. hamad702000@yahoo.com
Bwana Sharifu Vituo vinavyouzwa vipo vi3. Chalinze kina pump 2. Na matenki 3. Kwa Mfipa kina pump 4. Tank 5.jumla tank zote lita 80,000. Vibali vyote vipo kinafanya kazi karibu Mkuu.
Wewe usilolijua litakusumbu kitu kama haujui nyamaza. Kituo kinachouzwa wa sio cha lyimoo kamaunavyofikiri. Kukaa Misugusugu bado ujakuwa mjanja. Chukua futi kapime hata hicho kituo cha lyimoo hakipo katika Reserve Road. Tafuta Comment nyingine. Kituo kinachouzwa ni kile chenye Pump moja baada...
Petrol Station ipo Kwa Mfipa inauzwa. Kituo kipo kabda ya stand Kwamfipa upande wa kushoto kuelekea Morogoro, kinafanya kazi kuna Pump 4, tanki 4. Tanki 2 za ujazo wa lita 25,000@moja. Tanki zingine 2 zinaujazo wa Lita 9000@moja. Kwa maelezo zaidi piga 0754383174 . Bei Milion 500.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.