R.I.P Boss, Huyu alikuwa Country Manager wetu kwenye kampuni ya Wananchi group of Companies (Zuku & SimbaNet)
Apumzike kwa amani na ninamshukuru kwa Kunipa fursa ya Ajira bila ya kunifahamu na akaniamini akanipa Kazi..
Mkuu, Kwa usawa huu kama huna maokoto wewe kaa mbali tu na hao viumbe. Maana ni stress tupu
Ila pia naomba share namba mkuu na mm nikajibless na tunda kimasihara. Hao wa namna hiyo ndio nawapendaga mimi
Mimi ni muuzaji wa TV , ukitaka tv nzuri hakikisha tu unapewa Warranty card imejazwa na ipo verified. Achana na brand , brand zote zinakufa muda wowote, hakuna cha LG wala Samsung, zote ni uchafu
Yeye manara Soka ndio lina mchango mkubwa kwenye maisha yake. Na sio yeye ana mchango mkubwa. Ametumia vibaya nafasi zake kwa kujinufaisha mwenyewe, kujitengenezea brand yake.
Yeye ndio kapata jina kwa sababu ya soka la tanzania na sio soka la tanzania limepata jina kwa sababu yake.. muwe na...
Mkuu, Kichaa kama huyu umemtolea wapi??
Yaani hata aibu hana. Na hapo kwenye kushindwa kutofautisha L na R ndio nisingekuqa hata nasoma message zake.
Huyu mwanamke sijui hata kama kasoma kwa kweli
Pole sana ila wanawake wapo wengi sana aisee. Piga chini Tembea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.