Search results

  1. Kelema

    Mkutano wa Afya na Mali (Muhimu sana)

    Wana JF, salaam sana. Karibuni kwenye mkutano wa Afya na Mali, utakaofanyika tarehe 7/7/2012 Holiday Inn, saa 7 kamili mchana na kuendelea. Upande wa afya, magonjwa sugu kama kansa, kisukari, pressure, ukimwi, ugumba, n.k. yanapatiwa ufumbuzi wa uhakika, si wa kubahatisha. Upande wa Mali...
  2. Kelema

    Adha ya usafiri wa daladala

    Hamjambo wana JF? Naomba tukumbuke ustaarabu wa daladala, miaka ya zamani kulikuwa na UDA-(Shirika la Usafiri Dar). Ukienda kituoni, unapanga mstari. Ustaarabu ulikuwa mkubwa!!!! Mtu aliyetangulia kufik kufika kituoni alipanda kwanza. Sasaa hali ni tofauti, na kikumbo unapigwa. Je, tufanyeje...
Back
Top Bottom