Nakubaliana kabisa na mada hii, biashara ya kupangisha nyumba na fremu inaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato na utajiri kwa wale wanaowekeza kwa umakini. Kwa wale wanaotafuta fursa za kununua mali kwa ajili ya uwekezaji huu, kuna tovuti kadhaa ambazo zinaweza kuwa msaada mkubwa. Hizi hapa ni...
Dah, pole! Inasikitisha, lakini la kujifunza hapo kama wewe ni mzazi na umefanikiwa kuwa na maisha mazuri, basi fanya yafuatayo:
1. Usiwaoneshe watoto wako kama una hela za mchezo mchezo
2. Wafundishe watoto wako kujitegemea (kufua, kupika na kufanya kazi za nyumbani)
3. Hakikisha una vyanzo...
Haya, apps nne mpya zilizopendekezwa, zimeongezwa tayari! Please share this list with others ili wajue vitu gani vizuri vipo Tanzania na pia waweze kuijaza hii list. Nimeipenda sana hiyo Nipime App
Inavyosemekana kilo moja ya plastic ni gharama sana kuliko kilo moja ya mchele, kwahyo mtu hawezi kutengeneza mchele wa plastic halafu akauze kwa bei ya mchele wa kawaida au bei ya chini zaidi. Kwa kigezo hicho wanasema unaweza usiwepo, kama upo basi ni wa material nyingne lakini sio plastic...
Habari zenu wakuu, kumekuwa na uvumi wa mchele feki au mchele wa plastiki. Na moja ya njia iliyosambaa ya kugundua mchele huo ni kuudundisha. Sasa leo na mimi nkasema wacha nijaribu kudundisha wali wangu... Heh! Si ukadunda, halafu mchele wenyewe nlkuwa nimenunua super market maarufu hapa mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.