Search results

  1. M

    Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

    nafkr kuna mijitu inatumia masaburi kufkr, mtaje huyo ndugu aliyewah kuugua ugonjwa km wa dr. Watu wanatoa ukwel hum halafu unatoa maneno kubisha na kuuzi. Pu**f!!.
  2. M

    Maoni ya watu wa Kyela na Mbeya kwa ujumla kuhusu afya ya Dr Mwakyembe

    wewe ni mkinga, hata kinyaki unachoigiza kusema ni kikinga cha kimagoma. acha zako hizo, ninyi ndio mnaotumiwa na mafisadi. Hiv mlitaka mwakyembe ayamalize matatizo ya kyela kwa wakati mmoja? Toka mwakyembe aingie madarakani amefanya mambo mengi sana kwa wilaya ya Kyela zaidi ya wale...
  3. M

    Dr H. Mwakiembe atapona na mtashangaa!

    Wana Kyela mpaka sasa wanamlaumu sana Mbunge wao, maana toka wakti wa uchaguzi waliishamwambia ahamie CDm lakini aling'ang'ania CCm. Nafikiri sasa baada ya kumnanga amejifunza kitu, hatimaye atasikiliza ushauri wa wazee. Kyela hawataki kbs kusikia CCm maana kwao hawaoni tafauti na muuaji.
  4. M

    Wanasheria msaada: Haki ya mgawo wa mali ilichumwa mume au mke kwenye ndoa

    Ndugu yangu huyo mama hajaweka wazi kama kkuna makubaliano yoyote katika ndoa yao, na ni mkristo toka kuzaliwa. Ila kuhusu kiwanja mara ya kwanza kilikuwa na jina la mumewe marehemu(offer letter), alipopewa na ndugu wa marehemu akabadilisha jina na kuandaa hati(title deed) ya miaka 33 kwa jina...
  5. M

    Wanasheria msaada: Haki ya mgawo wa mali ilichumwa mume au mke kwenye ndoa

    Wanasheria tunaomba ufumbuzi wa utata wa kisa hiki. Mama mmoja (mfanyakazi ya kuajiriwai) alifiwa na mumewe (hakumwachia watoto) ila aliachiwa kiwanja ambacho kilikuwa kimejengwa uzio wa ukuta tu bila jengo lolote ndani yake. Baada ya miaka miwili mama huyo aliolewa na bwana mwingine mfanya...
  6. M

    Hakuna 'Baraza Kivuli la Mawaziri' - Wassira

    Mi nafikifiri TBC1 wamefanya kusudi kumdhalilisha mzee wa wa2, kwa jinsi ninavyomfahama tyson sio saiz ya Mbowe kwamba anaweza kupambana nae katika kujenga hoja murua. Hata angekua Jeykey hapo (mbowe) ni maji marefu sana yaani!
  7. M

    Kikwete apunguza maofisa anaosafiri nao nje

    Nina shaka kama anajua hata kusurf...!!!!
  8. M

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    Kwa hiyo unataka kutuambia hakuna suluhisho la tatizo la umeme tanzania? kuna watu wana bongo za kuweza kutafuta suluhisho la matatizo tuliyonayo watz likiwemo la umeme. Mshauri achie ngazi uone kama atakayekuja atachemsha kama huyo unayemtetea.
  9. M

    Uongozi wa Nyerere na haja ya Katiba mpya

    I liked it, logical analysis.
  10. M

    CHADEMA wanafaidika na Caller tunes charges??

    Wakuu na mimi nautaka huo wimbo. unaupataje?
  11. M

    Mh Sumaye achaguliwa kuwa mkurugenzi CRDB

    Mkurugenzi ni tofauti na mkurugenzi mtendaji, msije mkachanga mambo hapo. yeye anawakilisha wanahisa ili kuhakikisha maslahi yao yasimamiwa kikamilifu na waliokabodhiwa jukumu la kuiendesha benki ( akina Dr. Kimei na wenzake-crdb mgt).
  12. M

    AN OPEN LETTER to BAE Systems: Do not return radar money to Tz Government

    Wewe sangala namna gani bana! kwani hizo hela ni zenu? hela zenu wamekula mafisadi wa lada, kwa huruma mwingereza ameamua kuwarudishia japo kidogo mnaanza kuinua mabega. yaani mnaona wivu hata hicho kidogo ambacho mwingereza anataka watz wafaidi?
  13. M

    Kubenea wa MWANAHALISI amenunuliwa na mafisadi?

    Kubenea akinunuliwa na RA watanganyika tumekwisha, maana me namuona ni miongoni mwa wapiganaji makini na jasiri wa watz.
Back
Top Bottom