Bacteria kama lactobacteria wanatumika kugandisha maziwa, wengine wanaishi kwenye miili yetu ''symbiotic bacteria"
Wadudu ni watamu sana ila lazima wawe wametoka eneo safi, pia wawe wamepikwa vizuri
Kuna jamaa tulimpa fedha mimi na wife ili atutengenezee kazi flani, nina mpango wa kumfungulia kesi ya utapeli kwa sababu ni mwaka sasa, back up ya malipo ilikua ni kwa simu na hatuna ushahidi, je tutashinda? vipi na gharama za kufuatilia tunaweza kumuwekea azilipe?
Ninavyoelewa sio hivyo! Huwezi kuipandisha dhamani fedha kwa kuificha, kinachopandisha dhamani fedha ni jinsi inavyohitajika(demand for money), ili fedha yetu iwe na dhamani, kinachotakiwa ni kuwa na bidhaa nyingi sana zinazouzwa kwa Shilingi, mfano, watalii wakija wengi sana, na tukalazimisha...
Kwa sababu mzazi mwenzio amemshirikisha mume wake, na mume akaikataa, basi na wewe mshirikishe mkeo mpya, na yeye akiikataa hiyo mimba basi ngoma droo.
Uzi murua, shukrani sana, nina maswali mawili;
1.Kuna ulazima wa viongozi wa serikali ya mtaa kweye hili, nimeona maeneo mengi wenyeviti wa vitongoji na watendaji wakijumuishwa kwenye hii mikataba
2.wakili akihisishwa, gharama za kuandaa mkataba inakuwaje? kuna mazoea kwamba ni 10% ya...
Ni kweli kua mazingira yana mchango wake katika makuzi ya watoto wetu, mazingira haya ya makuzi pia yanajumlisha nini watoto wanaona kutoka kwa wazazi, kumbuka hii ni sampo yangu, saikolojia yako ya makuzi inasemaje? tueleweshane
Habari wadau,
Huu ni utafiti wangu binafsi. Wanaume wengi ambao wana wake wawili, mabinti zao nao hawaogopi kuwa katika mahusiano ya aina hiyo.
Hapa namaanisha kuwa, binti anaweza kuingia kwenye mahusiano na mume wa mtu akiwa anajua kabisa kuwa wewe ni mume wa mtu, na akakubaliana na hali...
Huko umeme ndio kwanza umeingia, kilimo ni tumbaku na karanga, barabara ni vumbi mwanzo mwisho, kulikua na misitu ila wananchi wamemaliza miti kwa kukata kuni kwa ajili ya tumbaku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.