Search results

  1. M

    Mapokezi makubwa yaandaliwa Dom kwa Mbowe na Wabunge wa CHADEMA

    Hakika aliyeshiba hatambui uwepo wa wenye njaa!!!! Wewe unayetaka watu wasiandamane nahisi hujajitambua (ueledi wako mdogo) na hauko tayari kuwaamsha watanzania wenzako kulikwamua taifa toka ufisadi wa Magamba!! Mh Mkapa alijitahidi sana na hata wakipato cha chini hakulalama. Serikali hii...
  2. M

    Hivi ni kweli kwamba tumeshindwa kabisa kusimamia matumizi halali ya kodi zetu?

    Nawapongeza wote ambao mmekuwa mstari wa mbele kuweka wazi yaliyofichika na uchafu wa wale walioteuliewa kuongoza na badala yake kutawala! Pongezi za pekee kwa mwanzilishi/waanzilishi wa hili jukwaa! Swali lipo wazi, je kabla ya kulaumu kuna hata mmoja wetu amewahi chukua hatua yoyote...
Back
Top Bottom