Ndugu unayeomba mtu wa kushirikiana nae uwe makini sana usije ukakosea mtu wa kushirikiana nae kibiashara na utakapo mpata angalia uhuru ulio nao ndani kabla ya kuchukua hatua yoyote mbele.
Unaweza nunua usicho nacho na kikaungua au kupata ajali yoyote ile nakushauri bora uekeze watu wangekuwa na mawazo ya kwako wasingeekeza wangeogopa hasara
Ndugu wafanyakazi wenzangu hakuna mshahara utakaotosha, kuna maneno yanasema kadiri pesa yako inavyoongezeka ndivyo na walaji wanavyoongezeka. Ningeshauri hivi tujiondoe ktk kundi la wanaoilalamikia serikali tujiingize ktk kundi la wanaofikirisha akili zao kutafutanjia mbadala ili kuinua pato...
Leo nimejiunga na jamiiforums kabla ya hapo nilisumbuka sana kujiunga neno moja nawaambia wanajamii nikuwa hizi ni nyakati za kulinda sana roho zetu na kumtumikia sana mungu kw nafasi uliyoko yoyote ile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.