Search results

  1. B

    Dr Dau, NSSF, madaktari bingwa wa moyo Muhimbili-"hongereni" kwa kifo cha DR MASAU

    kilichosababisha doctor masau apigwe vita na wizara ni zile safari za India ambazo zingepungua na wao wakakosa ulaji kutokana na safari hizo.
  2. B

    CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

    Nilishawahi kuwaambia wana JF kuwa huyu Lusinde ni mwendawazimu, bahati nzuri yeye mwenyewe amewathibitishia. Nafikiri huyu ni mmoja wa wale vijana ambao Wasira alisema wanavuta bangi.
  3. B

    Bungeni: Zitto aigalagaza Serikali, Spika ashindilia msumari wa moto!

    Kwani unafikiri ni vilaza! ni kwamba wanajua kuwa wao ndo wateule hivyo hata wakijibu utumbo kutakuchwa kama kawa! Ila cc wananchi tunaowachagua ndiyo vilaza zaidi.
  4. B

    Kutoka Dodoma!!

    Unafkiri ni kweli zile posho hazitoshi!!?? Kinachowasumbua ni kwamba wengi wao hawana uhakika wa kurudi tena bungeni hivyo wanataka kuchukua chao mapema. Mtu kama Lusinde unafkiri anaweza tena kurudi bungeni kwa busara zile alizonazo? Labda kama na wapigakura wake nao wana busara kama yeye!!
  5. B

    Chadema itashinda uchaguzi Uzini Zanzibar na CUF kwa heri !!!!

    Uzini wataikataa CDM kwa vile Lisu alisema Wazenji wanadekezwa hivyo watakuwa wameikacrikia CDM! Ila Chama watakuwa wanalikubali!
  6. B

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    Makamba alisema JK ni maarufu kuliko CCM hivyo wabunge wa CCM hawawezi kumgomea CCM. Hawawezi kukiangusha chama maana na wao watakuwa wameanguka.Asilimia kubwa wa wabunge CCM hawawezi wakacmama peke yao mambo yakawanyookea!
  7. B

    Is Lowassa still relevant? - I would say "No"

    CCM wanajua kumsimamisha huyo jamaa watajichimbia kaburi hivyo EL is no longer ralavant!
  8. B

    TBC1 (television ya taifa) wanapotosha taarifa kwa umma... Why?

    Kama bado unategemea TBC kupata taarifa utakuwa umepotea.
  9. B

    Ngurumo acha kumchafua JK baada ya kukunyima nafasi Ikulu

    Ngurumo usihangaike na wasoma udaku hao,hawawezi kukuelewa. Kukosa nafasi kwako hakuwezi kukufanya usiwe na fikra huru sasa. Mbona Anne Kilango alikuwa ni mwana-CCM tena Mbunge wakati anarusha makombora.
  10. B

    Kipindi cha dakika 45 ITV ni jukwaa la kisiasa?!

    Kipindi cha dakika 45 pale ITV ni kama jukwaa la kisiasa la wanasiasa kutangaza sera zao kwa sababu mtangazaji hana uelewa wa maswali anayouliza hivyo kuwaacha jamaa wanajimwaga tu na majibu ya uongo. Mfano wa karibu ni jana ambapo Mh. Kasimu Majaliwa alipokuwa anadanganya kuwa wanasimamia...
Back
Top Bottom