Search results

  1. T

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    Duh mpaka JIDE ameamua kufunguka kuhusu Ruge na Joe Kusaga,basi kuna tatizo kubwa kwa hawa jamaa.Alianza Sugu,afande sele,soggy Doggy anter,mkoloni,dani msimamo na VINEGA kwa ujumla.Na sasa Komando JIDE afunguka..dah ni maneno makali sana haya.hawa jamaa inabidi wajitafakari na kujirudi kwa...
  2. T

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Sijajua tatizo la sheikh Ponda.Tujuzane nn matatizo ya huyu sheikh Ponda
  3. T

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Malipo ni hapa hapa duniani.Kwa mujibu wa redio One,inasemekana alikuwa anamrudisha dada yake baada ya kutoka kwenye kikao cha harusi.cha kushangaza ni eti Kupigwa na Risasi na watu mara moja eti wanadaiwa ni MAJAMBAZI......
  4. T

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    RIP Steve Kanumba.Bongo Movie super star wa Ukweli.Jina la Bwana lihimidiwe....Huyo LULU anayetajwa tajwa na kifoo chake ni LULU gani jamani....?
  5. T

    Wema akimbia studio Live EATV!

    KaJIHARIBIA sana WEMA,alivyoingia studio nilihisi kama hakuwa akijiamini...
  6. T

    Udom wapeni watu Transcripts zao

    UDOM hawajajipanga kabisa.Hawako serious.Kwa wahitimu wa kwanza 2010,Transcript na Vyeti wengi wao vimekosewa ile mbaya.Kukosewa majina,miaka ya kuzaliwa,kozi walizosoma,GPA na wengine hadi picha.Hii ni aibu kwa Chuo Kikuu jamani.Sijui tatizo ni nini hasa!!!!.
  7. T

    Ufoooo Sarrrrooo

    Ufoo Ssaroo...She is very good in reportind especially Political news.Anajitahidi lakini kama mdada...Big Up to her.Ila atapotea pale tu atakapoahamishwa na kuletwa mkjini...
  8. T

    Samuel Misago(EA Radio/TV) vs B-Dozen(Cloudz FM) nani zaidi?

    Sam na huyo Dullah hawaingii hata kidogo kwa yale majembe ya Clouds fm (B 12 na Adam Mchomvu).Kiukweli,Presenters wengi na Redio zao wanaiga kila kitu toka Clouds fm.Hata hiyo Redio yao ya Capital fm ime-copy na ku-paste vipindi toka Clouds fm..
  9. T

    Pendaeli Omari yuko wapi jamani?

    Yap pendaeli alikuwa vizuri.Kipindi cha TIDO alikuwa na vijana wazuri sana.Ila baada ya kumtimua,nadhani na wao watakimbia.Maana TBCCM sasa ni maslahi ya chama na serekali kwanza...mengine baadae...
  10. T

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Ushindi huu ni ishara ya kuchokwa kwa CCM na sera zisizotekelezeka.Wanataka kutuletea utawala wa kifalme..Tutakutana 2015 ili tuichukue nchi kabisa..Peoples power
  11. T

    Arumeru sio Korea, baba afariki mtoto arithi jimbo

    Sioi na baba mkwe wake wataoneana aibu balaaaaaaaaaaaa
  12. T

    Peopleeeeeeeeeeee z pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    POWERRRRRRRRRRR.People's power forever...
  13. T

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Were weraaaaaaaaaa.PEOPLES POWER,.Nguvu ya watu ni nguvu ya mungu pia.mungu ibariki CDM
  14. T

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Wana Arumeru Mashariki wamefanya uamuzi wa busara sana kuleta mabadiliko.Aluta continua.Tunasubiri msimamizi kutangaza sasa....
Back
Top Bottom