Search results

  1. M

    Naomba ushauri nataka kununua brevis 250i au mark x 250G

    Wadau naombeni ushauri nataka kununua Brevis 250i au Mark x 250G. Naomba kujua kwa wenye uzoefu ni ipi bora kwa matumizi ya kawaida na siku moja moja safari za mapumziko mkoani.
  2. M

    Waziri wa viwanda angalia Taasisi za utafiti kuna majipu

    Waziri wa Viwanda unasubiri nini ofisini usitumbue majibu kwenye taasisi zilizopo chini yako. Hasa sisi tuliopo taasisi za utafiti kuna majipu yanayotoa usaha. Mfano CARMATES, TIRDO, nk
  3. M

    Kwa hili la mgao wa umeme kipindi hiki ni sawa na kuongeza misumari kwenye jeneza la CCM

    Kila jambo linapotokea lina maana yake, hasa jambo hilo linapokuwa ni mpango wa Mungu katika kutekeleza jambo lake. Katika kipindi hiki ambacho chama kinapigana kufa na kupona kujikwamua na tuhuma tele tele zisizo na majibu, nalo pigo lingine la mgao wa umeme linajitanabaisha wazi wazi kuwa...
  4. M

    Kwa hali ilivyo sasa ni bora CCM mkasubiri uchaguzi mwingine wa 2020

    Sina nia mbaya ya kupotosha ila ukweli unaojionesha kuwa kwa uchaguzi huu ni wazi kuwa CCM mmeshikwa pabaya. Nguvu inayojidhihirisha kwa mzee Lowassa ni kubwa na haitetereki licha kuwepo na njama nyingi za kumrudisha nyuma au wafuasi wake. Ikumbukwe kuwa style anayotumia Lowassa ya kutokupenda...
  5. M

    Star Tv kwenye taarifa ya habari saa mbili usiku mlionyesha mtu mwenye midomo 3

    Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kituo cha Star Tv siku ya tarehe 29.05.2015 taarifa ya habari ya saa mbili usiku walionyesha maajabu ambayo sikuweza kuamini na sitaweza kuamini kama kuna binadamu wa aina hiyo. Alionyeshwa mama mmoja mwenye midomo mitatu ambapo sehemu ya macho ni jicho na pia...
  6. M

    Hivi ukiwa dereva wa Noah, lazima uwe mpuuzi?

    Jamani tumekaa mjini na vijijini na magari tumeyamiliki na barabara tunazotumia hi hizi hizi ila kinachonishangaza ni hawa wenzetu wenye kutumia magari aina ya Noah. Yaani ni kero kwa uendeshaji wao utafikiri wamelogwa. Uendeshaji wa hovyo usiokuwa makini speed hazina umakini wowote ili mradi...
  7. M

    Msaada: AC ya gari kusababisa ukungu/unyevu kioo cha mbele

    Wadau naombeni msaada kama ni kawaida jambo hili kutokea. Gari yangu kila nikiwasha AC inasababisha ukungu/unyevunyevu mkubwa kioo cha mbele hali inayonilazimi kufuta kwa waipa mara kwa mara. Je kwa mlio na ujuzi wa mambo haya nini tatizo na solution ni ipi. Asanteni wadau
  8. M

    Kuna taarifa Mkutano wa NSSF uliokuwa uanze tarehe 4- 7 May 2015 Arusha umeahirishwa

    Kuna taarifa kuwa mkutano wa wanachama wa NSSF uliokuwa uanze tarehe 4-7 May 2015 umeahirishwa till further notice. Hii inaleta usumbufu kwa kuwa baadhi ya wanachama walianze safari zao leo kwa ajili ya maandalizi ya J3. Wadau wenye sababu za kuahirishwa mkutano huo watujuze plz. Source ni...
  9. M

    Tunapokuwa na Rais kijana na anastaafu akiwa kijana ni mzigo kwa taifa

    Siku za karibuni kumekuwa na wimbo wa enzi ya vijana kushika madaraka kama ya Urais n.k.. Lakini kuna wasi wasi kuwa vijana nao wanaanza kuwa na tamaa ya kubaki madarakani hata kwa kulazimisha kwani wengi wanaangalia umri wao bado na utamu wa madaraka ndo huo hivyo kuanza kutafuta sababu za...
  10. M

    Kumekucha: CCM kuruhusu makada wake kutangaza nia muda wowote kuanzia sasa

    Habari nilizozipata kutoka chanzo cha uhakika ndani ya Magamba ni kuwa wapo kwenye hatua za mwisho kabisa kuruhusu makada wake wanaotarajia kuwania nafasi mbali mbali hasa ile kuu ya Urais kutangaza nia muda wowote kuanzia sasa. Aidha chanzo hicho kimebainisha kuwa ndani ya siku saba hadi kumi...
  11. M

    Naipenda sana sauti ya mtangazaji wa BBC - Dinah Gahamanyi

    Wadau mimi ni mzikilizaji mzuri ya idaya ya kiswahili ya BBC, nimetokea kuipenda sana sauti ya huyu mtangazaji hadi kufikia hatua ya kutaka kujmwona kwa sura tu moyo wangu utulie. Sijui wenzangu kama mnaguswa kama mimi
  12. M

    Viongozi wa CCM na Green Guards wakisaka michango ya mbio za Mwenge kwa wananchi walala hoi

    Haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania wakati viongozi wa CCM wakifanya operesheni kabambe ya kusaka pesa za mbio za mwenge
  13. M

    Vijana wa UDSM (Mabibo) Hostel ajali ya moto mlikuwa na uwezo wa kuzuia ila...

    Jana palitokea ajali ya moto ka bila tatizo ila cha kushangaza vijana hao badala kuzima moto waliishia kupiga picha na kurusha kwenye mitandao ya kijamii huku moto ukiwa unashika kasi. Tufike mahali vijana tubadilike, hii ni aibu. Natambua fika kuwa ajali ya moto ni hatari na unapaswa kuwa na...
  14. M

    Nasikia wewe ndo tishio ndani ya CCM mbio za urais 2015

    Hivi ni kweli wewe ndo unawanyima usingizi? Ni kweli we subiri utaona moto wangu
  15. M

    Vipi, mgao wako wa ESCROW umelipa kodi?

    "Mi ni nyoka mwenye makengeza sijui kama nitalipa kodi kwenye kale kamgao kangu"
  16. M

    Nimeipenda hii kweli mwaka huu tutashuhudia mengi

    Kila kukicha namshukuru sana Mungu azidi kunipa uzima niweze kushuhudia sarakasi na vituko hapo mwezi May 2015
  17. M

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lubuva amechoka kiakili na kimwili- Haiwezi hii kazi

    Ingawa uzee si dhambi na kila mtu atapitia hatua hiyo kama tutajaaliwa kuishi, lakini suala la Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi Mzee wetu Lubuva anaonekana fika kuwa kifikra na kimwili amechoka. Jukumu alilo nalo ni kubwa mno kwake na sidhani kama ataweza kuhimili majukumu hayo kisawa...
  18. M

    Wauzaji wa Kitimoto Sinza viwanja vya sanaa - Shekilango na mnatuangusha wateja

    Kwa wale watumiaji wa kitimoto waliopo jijini -Dar hasa sinza mtakuwa mnafahamu vizuri eneo maarufu la viwanja vya sanaa (Shekilango) opposite na club sunsiro kwa uuzwaji wa kitimoto choma. Hata hivyo eneo hili mbali na kuwa na biashara kubwa ya kitimoto kuna changamoto mbali mbali ambazo...
  19. M

    Kwa hili la "ESCROW" CCM mmeonesha ukomavu kutoka shingoni kwenda chini na siyo juu

    Katika hali inayoonyesha CCM imechoka na kuchokwa na walio wengi sakata la ESCROW limeishia kuwa dana dana na viporo visivyoisha. Kamati kuu walipo kutana Zanzibar wamekuja na wimbo ule ule wa matamko hali kuwa wanayemwambia atekeleze maazimio ya Bunge anaishi ulimwengu mwingine. Yeye akiwa kama...
  20. M

    Tunapokaribia uchaguzi tuwe makini la sivyo tutapewa kazi za kudhalilishwa

    Mara nyingi nyakati za uchaguzi pesa huwa ndiyo kipaumbele na kutokana na njaa zetu huwa tuna fanya vitendo ambavyo vinaweza kutudhalilisha na kuwa kama wanyama.
Back
Top Bottom