Search results

  1. S

    Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

    Prof. Kapuya akanusha tuhumadhidiyakejuuya Kubaka, Kudhalilisha, Kuambukizia VVU na Kumtishia kumuua mtoto wa shule. Je, hoja yake ya kuwa kashfa hiyo imelenga kumchafua kisiasa kuelekea 2015 ina mashiko? Kapuya ni Potential kiasi gani mpaka watu msingizie? Kama kweli, wale watoto/mabinti...
  2. S

    Siri ya Kuuwawa Zitto - UWONGO

    CCM mpango wao wa kuwatumia vijana {Juliana Shonza, Mwampamba na wengine wengi} pamona na idara ya Usalama ktk harakati za kudhoofisha vyama vya upinzani umeshadhihirika kufikia ukomo wa kuleta matunda wanayo kusudia. Watanzania wanataka mageuzi CCM imeshindwa kutatua matatizo ya kiuchumi na...
  3. S

    M/kiti UVCCM alifoji umri ili kupata wadhifa huo

    Mgogoro waendelea kufukuta Dodoma kutokana na Mwenyekiti wa UVCCM taifa kuendesha kikao kibabe huku akifukuza vijana wanaoonekana kuwa changamoto na kikwazo kwake. Hatua hiyo imepelekea Jipu lake la kufoji umri kufichuliwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya UVCCM. Hivyo huenda Bwana Sadifa...
  4. S

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kama Mahaba na Jini likunyonyalo damu

    Serikali ya Chama cha Mapinduzi inamaslahi gani na Muungano kati ya Tanganyia na Zanzibari? Kuung'ang'ania huu Muungano ni kutaka kuendeleza umwagaji damu ya Wakristo wasiyo na hatia. Kuwabembeleza Wazanzibari ndani ya Muungano ni sawa na kuikumbatia ndoa ya Jini mahaba wakati linarndelea...
  5. S

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    Serikali ya Kikwete inahusika na mauaji ya Viongozi wa Dini ya Kikristo. Rais Kikwete unajua uliwaahidi nini Waislam wenzio ndiyo maana huna uwezo wa kukemea au kuchukua hatua stahiki kama Raisi dhidi ya UDINI na UBAGUZI unaoendelea kufanywa na Waislamu. UKRISTO UTAENDELEA KUWEPO MILELE NA...
  6. S

    Goldie Harveys Husband Blasts Prezzo - Youve Caused Enough Hurt & Pain

    If real God exists, all Women diserve double punishment to Hell. They have been the major source of the Socio-psychological torture of the mankind on the Earth now and then. "Oooh God, forgive me for having this perception towards Women."
  7. S

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Wafanyakazi wa UDOM mnapaswa kujifunza toka Taasisi nyingine za Serikali na Binafsi. Wekezeni mda mwingi kwenye mambo ya msingi hasa maendeleo binafsi badala ya kutumia mda mwingi ktk majungu. Badilishaneni uzoefu wa namna ya kujikwamua na hali ngumu ya maisha na siyo kupoteza mda ktk kufuatilia...
  8. S

    Reshuffles UDOM zinatisha

    Watu wengi UDOM wamekalia umbeya badala ya kufanya kazi. Waliozoeleka kwa manung'uniko na malalamiko pasipo kufanya kazi wanaeleweka kuanzia ujaji wao kazini na utendaji wao. Waislam mnatutia aibu mmeingia kazini kwa kubebwa na mfumo, kazi hamuwezi lakini mnatanguliza umbeya mbele. UDOM ni chuo...
  9. S

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    :help::help::A S-key: Kwa hili suala elimu ya kujitambua lazima ipewe mkazo kwa jamii nzima ili kukinusuru kizazi kijacho. Wadada wengi ni kweli wageza miili yao kuwa mitaji ya kuanzia maisha, mmmmh eti nimegraduate mwakajana lakini nafanya hii kazi kwa mda ili...
  10. S

    Mbio za kumrithi Lema zimeanza Arusha wanachama wa Chadema wajitokeza kwa wingi

    :crutch:Aaah haya mambo bwana CCM wamedhamilia kuvuliwa nguo. Hakika mchakato ukianza CDM lazima watachukua hilo Jimbo. Walichokifanya MAGAMBA/CCM ni kukitangaza CDM kwa watanzania ili waridhie mageuzi 2015......:smash:
Back
Top Bottom