Yes hii ndio Tanzania tuliyoitaka, changamoto pande zote, mifumko ya bei, ugumu wa maisha, unaochangiwa pia na ungezeko la bei la hata huduma za jamii kama matibabu, maji, umeme ambao hata hivyo haupatikani na mengine mengi. Jamani huu ni wakati wa kuamka usingizini, na kila mmoja mahali alipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.