Search results

  1. H

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Posho imeisha na wajua wajanja sasa hv hawamthamini mana walifanikiwa walichokitaka. Mbona Slaa katulia naye awe vvyo hivyo.
  2. H

    Kamanda Sirro: Kuna watu wanapewa pesa ili waandamane kwenye UKUTA

    Hv intelligence yao ni kwa vyama vya sasa tu!!! Kheri kukaa kimya
  3. H

    Edward Lowassa kutua kwa kishindo Dodoma leo, bunge lahaha

    Ugali hauna marudio so hivyo vionja angalieni wenyewe majipu
  4. H

    Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Naye je? Mbona wizara aloiongoza ilitolewa taarifa na CAG kuwa kuna figisu figisu ktk matumizi ya fedha za umma. Aache uwongo huyu John mana utagombeaje nafasi usoijua!!! Urais raha aache udanganyifu kabisa, mbona haachi madaraka kama mambo ni manzito??? Ndo mana imeandikwa toa boriti jichoni...
  5. H

    Tanga Kuonja Mema ya Mbunge Yosepher Komba (CHADEMA)

    Mwambie John akupe Lori moja uendeshe
  6. H

    Mbunge Said Kubenea akutwa na hatia kwenye mashitaka yanayomkabili

    Useless, kama mafisadi wapelekeni haya ya kuandika kinafiki nafiki ya nini tena!!!
  7. H

    Pongezi zikufikie RC Paul Makonda

    Ari ndo nini! Sema kujipendekeza zaidi
  8. H

    Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Vua miwani ya mbao uone, mana mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki
  9. H

    Kuibuka sasa kwa kashfa ya LUGUMI ni mpango wa Mungu Watanzania wamjue waliomuamini na kumsifia

    Taarifa ya CAG bungeni 2016 ilisema kuwa pana ubadhirifu mkubwa sana wizara ya ujenzi, je waziri wake alikuwa nani? Meli ya samaki waziri gani aliikamata? na baada ya hapo serikali ilipa fidia baada ya kushindwa kesi. Hv ni nani asojuma utajiri wa JOHN! Ndo mana imeandikwa kwanza boriti...
  10. H

    Wenje aomba kufunga kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi

    Jakaya alisema mtanikumbuka ina mana ni kweli hasa demokrasia ya vyama vingi?
  11. H

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Magari ya kifahari ya viongozi wa serikali bado yananunuliwa licha ya Pinda kusema kuwa hayatonunuliwa tena
  12. H

    Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

    Hv yale magari ya bei kubwa serikali imestisha kuyanunua mana Pinda alisema hayatonunuliwa tena? Lakn serikali awamu hii bado wanaendelea kuyanunua toka Toyota .
  13. H

    Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Kumbe zombi kula kulala pole sana mpambe wa Chicago
  14. H

    Meya wa Kinondoni akabidhi mkopo wa Mil 33, kwa Kinamama na Vijana

    Hv mbona mwaweweseka na UKAWA!!!
  15. H

    Orodha ya Wabunge wa CCM wanaotuhumiwa kuvuta rushwa kamati za Bunge

    Oh pole kama huna mrembo kapige selfie na godoro tu.
  16. H

    Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

    Hao watendaji wanzuri wapo wapi mana figisu figisu tu!!! Kabla ya kutoa kibanzi jichon pa mwenzako anza na boriti jichoni mwako, hv majipu mtumbuaji hana?
  17. H

    Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

    Kweli kabisa walo ifikisha nchi hapa n hao hao, labda vyuoni walikuwa wanatumia lugha ya kupata vyetu.
Back
Top Bottom