Search results

  1. Salim A. Msangi

    SoC01 Mchango wa Jamii katika kuboresha Elimu Tanzania

    Najaribu kuvote inanikatalia, sijui nimechelewa ama vp, ila ni bandiko Zuri. King in ningependa pia tufikiriea Je elimu inayo tolewa sasa inayo ubora na sifa za kukabiliana na hatimaye kutatua changamoto zinazo izunguka jamii yetu? Math alanine tuliwahi kuwa na kikombe cha babu, Mindoro mbinu...
  2. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Tiririka na posti zote mpaka mwisho utakuwa na majibu.
  3. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Ipo to infinite ... wewe tu.
  4. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna TANBIHI juu pale kwenye posti ya kwanza, ilikuwa inakuhusu.
  5. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    Nipo mkuu sheria ya mitandao imenifanya nipozi kidogo, siku moja moja tutatkuwa tunarushia huku mpaka tukae sawa.
  6. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    Ipo yote Yote to infinite ... wewe tu.
  7. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

    Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
  8. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5

    Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
  9. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4

    Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
  10. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3

    Problem + Reaction = Solution. (P+R=S) Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
  11. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna kile kilichoitwa ‘Event 201’, Bill Gates kama kawaida alikuwepo kama mdhamini, mara hii akishirikiana na World Economic Forum, ‘event’ hiyo ilijikita kwenye kuzungumzia uwezekano wa kuibuka baa la maradhi ya kuambukiza litakalo weza kuuwa watu kwa idadi kubwa na kwa muda mfupi. Mpaka jina...
  12. Salim A. Msangi

    #COVID19 Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
  13. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Sijaweka posti kwa ajili ya kubishana, bali kuonesha kile ambacho wengi hawa kioni Kuhusu kukamatwa kwa mke na dada yake Al baghdad sikanushi wala kukubali habari hizo mpaka nitakapo onganisha doti mwenyewe ...
  14. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Al Qaeedah pia walimtangaza mrithi wa Osama na kuapa kulipa kisasi ... ?!
  15. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    “Those who are able to see beyond the shadows and lies of their culture will never be understood, let alone believed, by the masses.” ― Plato
  16. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Inanibidi nifute hicho nilicho andika kuhusu 'kupata elimu kwenye kivywa cha mbwa', naendela kupekua makabrasha yangu, na kuzungumza na watu, maana maandishi halisi ya hichi nilicho sema juu ya 'mbwa', si nayo, napenda kusimamia kile ambacho ninacho ushahidi nacho, hivyo hilo nalifuta mpaka...
  17. Salim A. Msangi

    Kifo cha Al Baghdad - De javu

    Unajua kama ninge andika toka, kichwani kwangu bila reference yoyote, hapo ungekuwa sahihi kuniambia nifanye hivyo, lakini reference zipo, na hapa kwenye huu uzi ni sehemu ndogo sana ya hadithi yote, ni kama 'tip of iceberg', mada nzima sasa, ya suala la hii 'project' inayo itwa ugaidi, tangu...
Back
Top Bottom