Kaka/dada
Ni kweli unayongea lakini pia lazima ufahamu si wote wamesoma Tanzania ama kufanya kazi Tanzania. Swala la mshahara linatemeana na nchi. Nami ndo nipo ktk research angalau ya kuwa na namba ya makadilio ili nione kama kuna tija. Kifupi, sifanyi kazi Tanzania ninacho fahamu mishahara...
Wanabodi nimekuwa nikiwasoma ktk janvi hili nikiwa nje ya wa uwanja, kwanza nawaomba mnisamehe kwa thread yangu ya kwanza kwa kuunza na swala la kutaka msaada.
Ombi langu kuu, ni kunifahamisha tu kiwango cha mshahara NMB, kwa fani ya IT nikiwa na masters, na kauzoefu ka mwaka 1-3. Najiaanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.